Mpoki ndio mchekeshaji bora wa stand up comedy kwa Tanzania

Mpoki ndio mchekeshaji bora wa stand up comedy kwa Tanzania

Nakuunga mkono dingii Ariff,,Mpokinade ni bonge moja la Stand up comedy,alaf anafata Masanja,then Dogo Pepe
 
Zamani kwangu alikuwa mzee majuto ila nowdays ni mpoki aka mwaarabu wa dubai yuko njema sana
 
Back
Top Bottom