PostGE2025 Mpoki: Suala la wasanii na wananchi ni kama mpangaji na mwenye nyumba, wasanii sikilizeni wananchi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
" ukifuatilia sana hili sakata la wasanii na wananchi kwanza huwezi kugombana na mwenye nyumba, wewe msanii ni mpangaji na mwananchi ni mwenye nyumba. Alafu hata sisi watu wazima tunakuambia unaanza kulamaba uzi ndo upitishe kwenye tundu haulambi tundu ndo upitishe kwenye uzi na kuna muda hata kama umesoma inatakiwa busara kuliko elimu kwa hili suala la wasanii na wananchi ninavyoona kila msanii anapaswa aspoti kile anachokitaka lakini wananchi wanacholalamika siyo hicho ambacho wasanii wanalalamika , wanachi wanasema kwenye mamabo mazito wasanii hawabebi" - Amesema msanii wa comedy Mpoki



Your browser is not able to display this video.
 
Kagusa point yenyewe kabisa.

Siyo kama huyu Suma Mnazareti anavyospin uhalisia.
Your browser is not able to display this video.
 
Hanscana naye analeta mzaha wakati wenzie bado wanategemea mziki kuishi😀

Yeye alishakimbia game.
Your browser is not able to display this video.
 
Huyu ni msanii wa comedy
Angalau kidogo kaongea point!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…