Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu kujisahau na kukosa control ni kawaida yake kabisa nakumbuka utoaji wa tuzo flani ulio fanyika miaka michache iliyopita jamaa aliboa mpaka basi.Wanajamii
Radio E-FM imemuajiri bwana Mpoki (mchekeshaji maarfu) kama radio presenter wao wa kipindi kinachoanza saa 10 jioni hadi saa 12 kinaitwa Ubaoni uyu jamaaa namkubali ni comedian mzuri tu anaejua kucheza na maneno ila sasa tunapoelekea anapitiliza.
![]()
![]()
Kwa wale mnaosikiliza kipindi icho naamini mtakubaliana na mimi naomba uongozi wa E-FM mumdhibiti uyu jamaa sio mda wote uwe wa masihara na utani na maneno ya kijinga TCRA muda sio mrefu naamini watashusha rungu apo
Ina wezekana kabisa ila hao itakuwa ni Radio sauti ya Mirembe.Soon utasikia Le Mutuz na Gigy Money nao watangazaji we subiri Tu.
Mathalan Zembwela ni comedian asilia lakini anajua wakati gani achomekee ya kwake lakini muda mzima wa kipindi yuko serious na yanayo husu kipindi na mada zake na amekuwa ni kivutio kwenye fani ya utangazaji na ana imudu vyema....amezidi kwa pumba aisee daah..! alafu anataka aongee yeye tu mpaka naona kama kipindi kinavurugika na kinakosa muelekeo, hata huwezi kujua nani ni kiongozi na nani ni co hosts wa kipindi, ebu mpangeni huyo mpoki bado hajielewi anadhani redio ni sawa na comedy show....
Ya pesaPromosheni ya nini?
Ya pesa
Si mlikuwa mnaisifia EFM hapa juzijuzi tu. Mara ooh Clouds wamepotezwa. "Mara ooh huu mchezo hauhitaji hasira". Kiko wapi sasa! Naona mmeshaanza kumeza matapishi yenu. Ngoma ya watoto haikeshi jamani.
Kama Yale makampuni ya simuHa ha ha, sasa pesa unaipromoti viipi?
Kama Yale makampuni ya simu
Tena huyo anasifa achelewi kupromoteHaya bana, ila promosheni ya pesa ndo naisikia kwako, ila lolote linawezekana kwa Mwarabu wa Dubai aka Tajiri la Kihaya.
Kwani bikra kweli?Mimi simuelewagi bikira. Amekaa kujisifia sifia tu. Sijui muhaya yule
Wivu ni kidonda
Kama unaroho iliyopinda.Ukishiriki utakonda.
Nasikia lunch ya watu ileKwani bikra kweli?
Basi ana haki ya kujiita bikra ila siku ndugu zake wakigundua wakapitisha mchango wakumpeleka milembe nami nitachangai maana kama sio punguani nini kujiita bikra hii si sawa hivi basata hawajaliona jina hili au chura tu ndo halina maadiliNasikia lunch ya watu ile
Ina wezekana kabisa ila hao itakuwa ni Radio sauti ya Mirembe.
We acha tu.Basi ana haki ya kujiita bikra ila siku ndugu zake wakigundua wakapitisha mchango wakumpeleka milembe nami nitachangai maana kama sio punguani nini kujiita bikra hii si sawa hivi basata hawajaliona jina hili au chura tu ndo halina maadili