Akili Pesa
JF-Expert Member
- Jun 18, 2014
- 616
- 854
Na hili ndiyo jibu sahihiNaona wachambuzi mnachambua hapa,nikama mnasema,mwanamke mweupe na mweusi yupi mtamu sijui kama kuna jibu.Inategemea unaamini nini.Vivyo kwa swala hili itategemea unaangalia nini
Wakuu habari.
Nimejkuta natamani kupata hili swali kwa majibu kuptia humu ndani kwa wataalamu Jf.
Hatuangalii Mali na utajiri wao Bali kipaji alichonacho mmoja wao.View attachment 1107484View attachment 1107485
Umenimaliza! Sheikhwote ni wachekeshaji ila tofauti ni moja JOTI Anachekesha ukiwa unamuona yani kwa kumwangalia iwe live au video huwa anavijitendo flani ivi na ule mwili wake Lazima akuache hoi. MPOKI huyu jamaa ni Maneno yake matatu tu ukiyaskia lazima ucheke yani ni mchekeshaji kupitia Maneno. Joti anaweza kukuchekeaha kwa kumwangalia tu bila yeye kuongea. wakati MPOKI anaweza kukuchekesha kwa kumskia tu bila kumuona