MPOKI Vs JOTI: Nani Mchekeshaji Mkali?

MPOKI Vs JOTI: Nani Mchekeshaji Mkali?

Akili Pesa

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2014
Posts
616
Reaction score
854
Wakuu habari.
Nimejkuta natamani kupata hili swali kwa majibu kuptia humu ndani kwa wataalamu Jf.
Hatuangalii Mali na utajiri wao Bali kipaji alichonacho mmoja wao.
FB_IMG_1558800458825.jpeg
FB_IMG_1558800571904.jpeg
 
wote ni wachekeshaji ila tofauti ni moja
JOTI Anachekesha ukiwa unamuona yani kwa kumwangalia iwe live au video huwa anavijitendo flani ivi na ule mwili wake Lazima akuache hoi.
MPOKI huyu jamaa ni Maneno yake matatu tu ukiyaskia lazima ucheke yani ni mchekeshaji kupitia Maneno.
Joti anaweza kukuchekeaha kwa kumwangalia tu bila yeye kuongea.
wakati MPOKI anaweza kukuchekesha kwa kumskia tu bila kumuona
 
Joti ukimuona tu unajua huyu ni mchekeshaji,,
 
wote ni wachekeshaji ila tofauti ni moja JOTI Anachekesha ukiwa unamuona yani kwa kumwangalia iwe live au video huwa anavijitendo flani ivi na ule mwili wake Lazima akuache hoi. MPOKI huyu jamaa ni Maneno yake matatu tu ukiyaskia lazima ucheke yani ni mchekeshaji kupitia Maneno. Joti anaweza kukuchekeaha kwa kumwangalia tu bila yeye kuongea. wakati MPOKI anaweza kukuchekesha kwa kumskia tu bila kumuona
Umenimaliza! Sheikh
 
Jot kam kuna mtu anabisha aend YouTube akaangalie video zake
 
Acheni kumfananisha joti na vitu vya ajabu ajabu
 
Nilikuwa namwona wa kawaida joti
Ila nenda youtube tafuta video tatu za joti zinaitwa
Condom
Mchuzi juu
Husia wa Babu
Usipocheka sijui una shida gani
 
Back
Top Bottom