Mpoki wa EFM aache kukejeli watu.

Mpoki ni the unprofessional comedian at his best.... Offensive materials almost always kitu ambacho ni kinyume na comedy ethics
 
asanteni na nnawaahidi ntayatendea haki yote mlionambia
 
Jiwe gizani......Limempata mtu bila shaka
Mjuni acha kuwaumiza watu. hahahahhah
 
Jiwe gizani......Limempata mtu bila shaka
Mjuni acha kuwaumiza watu. hahahahhah
Mpoki hana ethics za comedy na kutokana na upeo wake mdogo hajui kama ni muhimu
 
Sasa wewe ulitaka awasifie wanaopanga nyumba?shida tunapenda kusifiwa sana mnampenda kutokana na kejeli zake ndio maana ya vituko,kama hupendi kejeli zake basi usisikilize vipindi vyake
 
Sasa wewe ulitaka awasifie wanaopanga nyumba?shida tunapenda kusifiwa sana mnampenda kutokana na kejeli zake ndio maana ya vituko,kama hupendi kejeli zake basi usisikilize vipindi vyake

Masikini hujaelewa mada.
 
Unajua nyie ni wajinga Sanaa?yaani forum za kibongo ni upumbv sana yaani sisi tunajadili eti kamtangazaji kweli?si Fulani wa TBC sijui Fulani wa Clouds upumbv gani huu??kwanini hatujadili mada tunajadili watu??huo ni upuuzi mods futeni huu uzi huu ni ujinga kabxa wa watu kujipigia promo
 
Umenena kweli tupu. Ingekuwa vizuri hivi vituo vya redio na tv vinavyowachukua wasanii maarufu na kuwatumia kama watangazaji viwapeleke kwanza vyuoni wakajifunze taaluma badala ya kutegemea umaarufu wao tu. Naona hivyo hata kwa Zembwela wa East Africa Radio
 
Umemsifu sana, bichwa litafura. Analewa sifa mpaka anapitiza. Sisi (TCRA) tunasikiliza tuu akosee kanuni za utangazaji tuwapige faini.
Vipi kuhusu wimbo wa Parapanda mnampango wa kuufungia au bado mnausikiliza kwanza na kuuchambua?
 

Hatuwezi kumwacha Mpoki Mujuni aendelee kutukana watu. Tutamkosoa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…