Mpoki wa EFM aache kukejeli watu.

Mpoki wa EFM aache kukejeli watu.

Mpoki ni the unprofessional comedian at his best.... Offensive materials almost always kitu ambacho ni kinyume na comedy ethics
 
asanteni na nnawaahidi ntayatendea haki yote mlionambia
 
Jiwe gizani......Limempata mtu bila shaka
Mjuni acha kuwaumiza watu. hahahahhah
 
Mpoki ni mchekeshaji mzuri na kwa kweli ana kipaji au karama ya kazi hiyo.
Ametuchekesha na kuyuelimisha muda mrefu na jina lake lilivuma zaidi wakiwa original comedy pale EA Radio na kubwa lao tbc.
Hivi sasa yupo EFM RADIO na kazi yake ya kuchekesha nasema bado ni superb. Lakini siku hizi wakati mwingine anavuka mstari kutoka kuchekesha hadi kukejeli na hata kutukana watu kwa hali zao, kipato chao, kazi zao, umasikini wao na hata maumbo yao!
Mpoki anakejeli wanaoishi nyumba za kupanga. Kisa sijui yeye ana mjengo. Akumbuke aliyempa yeye ndiye aliyewanyima hao wenye miaka 50 na hawana nyumba.
Si wote wasio na nyumba hadi wanzeeka ni kwa sababu ya ujinga au uzembe wao. Miscalculations may be lakini Mpoki hawasaidii kwa kuwakejeli. Mujuni ajue hao anaowadharau leo ndio waliompa umaarufu.
Mujuni si vizuri kuwakejeli wauza kahawa, maji, mitumba au vitumbua. Haiewezekani wote wakatoka kupitia comedy.
Acha kuwatukana wasio na magari au wenye magari vimeo. Wenye samani mbaya kwenye nyumba zao. Acha majivuno bwana wenye vitambi na hawana nyumba au magari nao wana haki ya kuishi, kupanda daladala nk.

Mpoki aka Mujuni una akili sana. Huwa nakufuatilia unavyojenga hoja katika kipindi cha ubaoni. Wewe ni kichwa. Ila nasema usilewe umaarufu. Acha kusanifu watu. Kuna tofauti kati ya kuwachekesha watu na kuwakejeli/tukana. Kila la kheri Mujuni. Sisi marafiki wako wa mbali tunaona anapokosea na tunakwambia. Marafiki zako wa karibu hawawezi kukwambia hata ukosee kiasi gani. All da best Mpoki aka mwarabu wa Dubai.
Sasa wewe ulitaka awasifie wanaopanga nyumba?shida tunapenda kusifiwa sana mnampenda kutokana na kejeli zake ndio maana ya vituko,kama hupendi kejeli zake basi usisikilize vipindi vyake
 
Masikini hujaelewa mada.
 
Unajua nyie ni wajinga Sanaa?yaani forum za kibongo ni upumbv sana yaani sisi tunajadili eti kamtangazaji kweli?si Fulani wa TBC sijui Fulani wa Clouds upumbv gani huu??kwanini hatujadili mada tunajadili watu??huo ni upuuzi mods futeni huu uzi huu ni ujinga kabxa wa watu kujipigia promo
 
Mpoki ni mchekeshaji mzuri na kwa kweli ana kipaji au karama ya kazi hiyo.
Ametuchekesha na kuyuelimisha muda mrefu na jina lake lilivuma zaidi wakiwa original comedy pale EA Radio na kubwa lao tbc.
Hivi sasa yupo EFM RADIO na kazi yake ya kuchekesha nasema bado ni superb. Lakini siku hizi wakati mwingine anavuka mstari kutoka kuchekesha hadi kukejeli na hata kutukana watu kwa hali zao, kipato chao, kazi zao, umasikini wao na hata maumbo yao!
Mpoki anakejeli wanaoishi nyumba za kupanga. Kisa sijui yeye ana mjengo. Akumbuke aliyempa yeye ndiye aliyewanyima hao wenye miaka 50 na hawana nyumba.
Si wote wasio na nyumba hadi wanzeeka ni kwa sababu ya ujinga au uzembe wao. Miscalculations may be lakini Mpoki hawasaidii kwa kuwakejeli. Mujuni ajue hao anaowadharau leo ndio waliompa umaarufu.
Mujuni si vizuri kuwakejeli wauza kahawa, maji, mitumba au vitumbua. Haiewezekani wote wakatoka kupitia comedy.
Acha kuwatukana wasio na magari au wenye magari vimeo. Wenye samani mbaya kwenye nyumba zao. Acha majivuno bwana wenye vitambi na hawana nyumba au magari nao wana haki ya kuishi, kupanda daladala nk.

Mpoki aka Mujuni una akili sana. Huwa nakufuatilia unavyojenga hoja katika kipindi cha ubaoni. Wewe ni kichwa. Ila nasema usilewe umaarufu. Acha kusanifu watu. Kuna tofauti kati ya kuwachekesha watu na kuwakejeli/tukana. Kila la kheri Mujuni. Sisi marafiki wako wa mbali tunaona anapokosea na tunakwambia. Marafiki zako wa karibu hawawezi kukwambia hata ukosee kiasi gani. All da best Mpoki aka mwarabu wa Dubai.
Umenena kweli tupu. Ingekuwa vizuri hivi vituo vya redio na tv vinavyowachukua wasanii maarufu na kuwatumia kama watangazaji viwapeleke kwanza vyuoni wakajifunze taaluma badala ya kutegemea umaarufu wao tu. Naona hivyo hata kwa Zembwela wa East Africa Radio
 
Umemsifu sana, bichwa litafura. Analewa sifa mpaka anapitiza. Sisi (TCRA) tunasikiliza tuu akosee kanuni za utangazaji tuwapige faini.
Vipi kuhusu wimbo wa Parapanda mnampango wa kuufungia au bado mnausikiliza kwanza na kuuchambua?
 
Unajua nyie ni wajinga Sanaa?yaani forum za kibongo ni upumbv sana yaani sisi tunajadili eti kamtangazaji kweli?si Fulani wa TBC sijui Fulani wa Clouds upumbv gani huu??kwanini hatujadili mada tunajadili watu??huo ni upuuzi mods futeni huu uzi huu ni ujinga kabxa wa watu kujipigia promo

Hatuwezi kumwacha Mpoki Mujuni aendelee kutukana watu. Tutamkosoa tu.
 
Back
Top Bottom