Mpoki...

Mpoki...

BAGAH

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2012
Posts
4,523
Reaction score
1,060
...huyu jamaa anakipaji cha kuchekesha...hatumii nguvu nyingi...ana maneno yasiyokwisha...."bata hata awe mchafu vip, atataga yai jeupeee"
moja ya maneno yake jana kwenye KILI MUSIC AWARDS...

tupia vimbwanga/vijimaneno vyake vingine....
 
.. Mwanamke hasingiziwi mi.mb.a
 
Mimi sioni kama anakipaji cha hivyo. Mpunga kitenesi, tonge kubwa kama rimau...
 
Hata nkiwa na laki mfukoni,
Bado nitaokota Tsh mia
 
Kama huna hobbie naye mbona umechangia hapa? Ungepotezea tu.

Jana alitolea mfano wa watu kama nyie ambao mnajidai hamumfahamu, eti kwani hamna TV kwenu! Kama mna TV lazima umfahamu mpoki!!

hiyo tu watu hoi...kicheko!
 
Kama huna hobbie naye mbona umechangia hapa? Ungepotezea tu.

Jana alitolea mfano wa watu kama nyie ambao mnajidai hamumfahamu, eti kwani hamna TV kwenu! Kama mna TV lazima umfahamu mpoki!!
Sio kweli,naweza kawa na tv lakini siangalii hicho anachomaanisha... C lazima kumfahamu kwani yeye nani bana..
 
Jana msela alihost show vizuri though kulikuwa na mapungufu hapa na pale ila ni mwanzo mzuri
 
Sio kweli,naweza kawa na tv lakini siangalii hicho anachomaanisha... C lazima kumfahamu kwani yeye nani bana..
Wale wale..
Haya tulia, tuseme basi humfamu! Umefurahi eeh!
 
Back
Top Bottom