Entuntumuki
Member
- Dec 24, 2011
- 88
- 17
Sio kweli,naweza kawa na tv lakini siangalii hicho anachomaanisha... C lazima kumfahamu kwani yeye nani bana..
Kwani na wewe ni nani bana..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kweli,naweza kawa na tv lakini siangalii hicho anachomaanisha... C lazima kumfahamu kwani yeye nani bana..
Mwanakijiji,nalima karoti mkuu,vp kuna lolote??'Kwani na wewe ni nani bana..
Topic closed! Umeshasema humfahamu. Period!!Si kila mtu unayemfahamu lazima na wengine wamfahamu mkuu...
Huyu mpoki noma kiaina!alishantoa nishai ya kiutani katika foleni selander bridge!!!!ila muonekano nao unambeba!!cheusiii na kitumbo chake kama kiroba!!!wachekeshaji wako mtoni mtu handsome lakini anachekesha!
Naona kamvua kamekata,acha nikapalilie karoti zangu mie.overOssy leo Jpil...punguza kauongo kidogo...utaendelea nako kesho!...
Sio kweli,naweza kawa na tv lakini siangalii hicho anachomaanisha... C lazima kumfahamu kwani yeye nani bana..
Sina mke, labda uwe wewhumfaham?basi mkewako anamfaham..
Huyu mpoki noma kiaina!alishantoa nishai ya kiutani katika foleni selander bridge!!!!ila muonekano nao unambeba!!cheusiii na kitumbo chake kama kiroba!!!wachekeshaji wako mtoni mtu handsome lakini anachekesha!
Sina mke, labda uwe wew
we kweli muuza sura,unapenda hoja za muonekano kweli,mara ooh Roma anamuonekano wa kienyeji,watu wengine bana
Sinaga hobbie naye
Kama huna hobbie naye mbona umechangia hapa? Ungepotezea tu.
Jana alitolea mfano wa watu kama nyie ambao mnajidai hamumfahamu, eti kwani hamna TV kwenu! Kama mna TV lazima umfahamu mpoki!!