elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,261
- 9,733
mbona jazba dogo?nna uhakika kama una demu asilimia mia hawezi kunikataa........maneno yako inaelekea umaskini na muonekano wa ajabu ndo unakusumbua!
Hivi unaweza changia topic yoyote bila kusifia wanaume wenzako na kujisifia wewe kama ni mzuri? Yani nadhani sio mimi pekee ni hakika washangaza wengi.
Topic inamhusu mpoki kuwa mchekeshaji, wewe ushaanza uzuri.
Haya na uzuri wa sura haujalishi sana kinachojalisha ni pesa, famous na kula pamba thats all. Ndo maana unayemwita mnyama anatembea na akina dada mastar si kwamba ana sura inavutia, ni kwamba ni famous, anapiga pamba za ukweli na sa hivi ana ela. Haya nenda na demu wako kwake huyo unaye mwita mnyama na huo uzuri unaodai unao akimtaka demu atakutosa kama vile hakujui.