Msanii nguli wa mashairi ameeleza kwamba kuna bacteria wanakaa njia ya haja kubwa ambao mtoto huwa anazaliwa nao, na hao ndio wanafanya baadae aje kuwa shoga. Pia ametaja tabia ya watoto kujisaidia chini kuwa ni moja ya tiba ambazo wazee wa zamani walizijua lakini siku hizi kutumia mapoti ndio kunazidi kuharibu watoto. Ona video

Mkuu ndio amejibu kwa kiwango chake cha Elimu.Ni wakuonea hurumaSababu za kindezi hizi
Sio sayansi, anasema hizo ni imani za kimila ambazo leo tunazipuuza
Yule mwingine alidai mwonekano wake umetokana na maji ya kunywa mwaka hauja fika hata nusu tutarajie mengi.Madaktari bingwa ni wengi, hata manyaunyau nae ni doctor.....