Mpoto: Kuna bakteria wa ushoga mwanaume anazaliwa nao

Mpoto: Kuna bakteria wa ushoga mwanaume anazaliwa nao

Ha ha ha Dr Mrisho Mpoto,MD,MMED,PHD

Au hao bakteria wa ushoga ndio E.Coli ha ha ha najikuta tu nacheka maelezo ya huyu jamaa
 
Kumbe Mrisho Mpoto naye ni POPOMA aliyetukuka?sikujua aisee!?
 
Huyu Jamaa atakuwa amedesa gaka aisee sio bure hicho kitu ata kwenye sayansi kimu hakipo aiseee kweli duniani maajabu hayataisha
 
Huyu jamaa kumbe ana thinking za kipuuzi kiasi hichi, na tungo zote zile kumbe ni maskini wa kufikiri .
 
Lakini muzingatie kua jamaa ni bingwa wa vikofu (mafumbo).

Munaweza kumuona ni popoma kumbe mapopoma ni nyinyi.
 
Duh! Mpoto bhana... kwahiyo anachotuambia ni kwamba tuna hao jamaa kama Sleepers fulani just waiting for activation!!!!
 
Ifike mahali serikali iweke sheria ya kulinda taaluma ya utabibu
vinginevyo upotoshaji utakuwa mwingi.
kwa wenye taaluma walau ya huduma ya kwanza wataelewa
ninachokisema.Kule vijijini kuna mambo yanafanyika
kama huduma ya kwanza ambayo mwishowe humsababishia
mgonjwa madhara makubwa endapo hatawahishwa kuonana na daktari.

Naona hatari ya kumwachia kila mtu
kusema awazavyo akilini mwake juu ya mambo ya kidaktari
kwa kuwa amepewa jukwaa la kusemea
tukijakushtuka tutakuwa tumeumia.Ni vema mamlaka husika zikachukua hatua.
 
Hizo ni mila sio taaluma, sidhani kama mila zina taaluma zaidi ya kurithishana
 
Back
Top Bottom