Elections 2010 MPs (Rita Mlaki & Anna Abdalah) spit fire on claims by Tango

dawa ni kufuta viti maalum tu!


Naunga mkono kuwa hivi viti vifutiliwe mbali .....naungana na ushauri alioutowa Nimrod Mkono.........tuwe na low house [viti maalum wanawake kwa wanaume...kutokana na kura za chama kwenye urais]....Higher house kuwe na wabunge walioshinda majimbonii tu!!!
Tuwe na house of LORDS...Kwa ajili ya wazee waliotukuka wastaafu...ie mawaziri wakuu wastaafu,wakuuu wa vyombo vya usalama [generals],majaji wastaafu[ wa mahakama za rufaa]...na watu weengine waliotukuka kwenye utumishi.....bunge hili liwe na wanachama wasiozidi 50....

Pia tuwe na utaratibu wa wagombea urais watakaofikisha kura asiimia 5% kwenda juu moja kwa moja wawe wamekuwa wabunge wa bunge la higher house ..na bunge la lords....fikiria mawazo ya watu kama Prof Lipumba .....na SLAA...Tunayakosa tu kwa sababu hawatakuwa na mahali pa kusemea[kenya katiba yao wameweka wagombea urais wanagombea na ubunge at a paralleel..for which naona haina sababu kama tunaweza kukubaliana kuwapa ubunge watakaopata 5% kwenda juu.....

GUYS KWA KWELI HAYA YOTE TUNAYOYAHITAJI ....WE NEED A NEW CONSTITUTION.......

CCM WASIFIKIRI HILI JAMBO LA KATIBA NI DOGO...ITS A TIME BOMB..HAWA VIJANA WA KIZAZI KIPYA HAWATATUELEWA....... TUSIANGALIE FAIDA ZA LEO[CCM]..TUANGALIE MUSTAKABALI WA TAIFA.........
 
Msishangae sana! hizi ndizo akili za ki-afrika, majibu yako shallow na hayatoshelezi hoja ya msingi. Nway, it shows how thick brains they possess.
 
FON
Rita said that her own NGO knowns as Neema Education Development Trust which owns a school and a fund which supports girl's education gave her a chance to represent NGOs in Parliament.[/COLOR][/SIZE][/FONT]


How on earth does one own an NGO, God save Tanzania and its representative democracy. Hawa watuwa CCM inabidi waelezwe NGO ni nini.
 
Aibuuuu sana sana kwa mijimama kutuna pale kumbe fake....haitakiwi kuwemo mule aibuuu...wanaenda kusinzia tu hawana cha ngo wala uwakilishi mmetumwa na ngo ipi????ni aibuu....heri tufute ujinga wa viti maalum labda kundi maalum vilema tu wawe uwakilishi....wao bubu viziwi etc baasi hawa wapenda dezo wote sukuma kuleee
 
uhuru gani unaoutaka/mbona nchi ni huru hii...
 
ana bahati sana huyu rita maana yake kawe watu hawampendi kweli na halima mdee angemtoa roho kule
 
Uhuru wa kujiamuli nani akuwakilishe dada Joyci jamani. Ukiona mtu mzima au taasisi kukubwa kama TANGO kinalia mbele za watu ujue kaibiwa chake dadangu mwenyewe.
 
Huu ndo uchafu wa Bungeni. Nilitegemea CCM kuwatafuta wanachama wake kupitia TANGO kama wanavyofanya kwa nafasi maalumu za vyuo vikuu. Huko wanawatafuta wanachama wao na kuwahusisha kupata mwakilishi lakini atoke vyuo vikuu.

Sasa eti UWT nayo naona kama inatambulishwa kama NGO! Au nimechanganya mabo? Maana sioni wameingiaje Bungeni Bila TANGO kufahamu. Ina maana wana-CCM walioko TANGO hawakuhusishwa. T-A-K-A-T-A-K-A KABISA!
 
Mimi naunga mkono Petition ya kuabolish viti maalumu maana vinatumika kama nanihii ya wazee huko dom tu. Mwanamke mwenye uwezo hawezi kuingia siasa kupitia kuangukia miguu watu kwa kugawa nanihii yake tu ilimradi itengenezwe category ya ENIJIO za CCM, siku nyingine machangudoa nao watadai wapewe uwawakilishi kupitia WOMEN wing. KATIBA Mpya ndo itaondoa upuuuzi wote huuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu! people's powaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.

Dr. Slaa Yasome haya na uyajengee hoja na kuifikisha rasmi kwa wananchi, wananchi ndiyo tunaoamua Katiba mpya au la siyo Serikali ya CCM Wala mtu asitutishe maadamu ndiyo lengo la Watanzania waliowengi!
 
Haya Mama majizi kweli ule mradi wa ritta alioupata kwa kurangua viwanja akiwa mkuu wa wilaya KInondoni ndio unaompeleka bungeni miaka yote wameomba majina ya wakikilishi wenye uanachama wa CCM kutoka TANGO ndio utaratibu uliokuwepo na ni mwaka huu amewachagua na wanawakilisha NGOO zipi manake wanatakiwa wakililishe NGOs watuambie zipi wanawakilisha NCHI imeliwa hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…