Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,557
- 8,673
dawa ni kufuta viti maalum tu!
Naunga mkono kuwa hivi viti vifutiliwe mbali .....naungana na ushauri alioutowa Nimrod Mkono.........tuwe na low house [viti maalum wanawake kwa wanaume...kutokana na kura za chama kwenye urais]....Higher house kuwe na wabunge walioshinda majimbonii tu!!!
Tuwe na house of LORDS...Kwa ajili ya wazee waliotukuka wastaafu...ie mawaziri wakuu wastaafu,wakuuu wa vyombo vya usalama [generals],majaji wastaafu[ wa mahakama za rufaa]...na watu weengine waliotukuka kwenye utumishi.....bunge hili liwe na wanachama wasiozidi 50....
Pia tuwe na utaratibu wa wagombea urais watakaofikisha kura asiimia 5% kwenda juu moja kwa moja wawe wamekuwa wabunge wa bunge la higher house ..na bunge la lords....fikiria mawazo ya watu kama Prof Lipumba .....na SLAA...Tunayakosa tu kwa sababu hawatakuwa na mahali pa kusemea[kenya katiba yao wameweka wagombea urais wanagombea na ubunge at a paralleel..for which naona haina sababu kama tunaweza kukubaliana kuwapa ubunge watakaopata 5% kwenda juu.....
GUYS KWA KWELI HAYA YOTE TUNAYOYAHITAJI ....WE NEED A NEW CONSTITUTION.......
CCM WASIFIKIRI HILI JAMBO LA KATIBA NI DOGO...ITS A TIME BOMB..HAWA VIJANA WA KIZAZI KIPYA HAWATATUELEWA....... TUSIANGALIE FAIDA ZA LEO[CCM]..TUANGALIE MUSTAKABALI WA TAIFA.........