- US hawatoi viza kwa mafisadi, huyo mumewe ndiye the masterminder wa Richimonduli,na yeye ninaamini yuko njiani kwenda Kisutu,
kama hatuna uhakika na hoja basi tuiweke ki-maswali kuliko kukurupuka na hukumu wakuu! Pole kwa hiyo familia na matatizo haya.
Mbali na huyu mama kupayuka maana siamini asemayo pia US na EU wana sheria zao ambazo sasa ni ngumu sana kutupatia Visa.Nimeshuhudia hata Wabunge wetu wa sasa wanazungushwa kupata Visa na nadhani wengine wamepata wiki hii ama bado kwa ajili ya ziara za kikao Ulaya .It is time nasi kuwa macho na utoaji wa Visa maana si kwamba tunawahitaji sana wao na wao pia watuhitaji .Lakini hadithi ya huyu Mama bado mie haijaniingia na naelekea kunywa gahawa hapa Magomeni .

Wow!!... FMES umeamua uunguze kabisa!!!!!
I was wondering mbona akaombe visa Nairobi na sio Dar?...It is much easier
to get a visa Bongo kuliko Kenya.
...Ni raia wa wapi huyu mama?..ni Mkenya, amekaa States 20yrs na afu pia ameolewa na Mbongo...somebody do the math.
...Je mwanae alikua legally documented in the States?
...Kama wasemavyo wachangiaji, hapa kuna another side to the story.
..Meanwhile hawa wamarekani si eti wanahuruma na mambo ya
undugunization kwenye haya maswala.They can be as cold as the grave!
"I have lived and worked in the US using a Green Card for over 20 years,"- Dr.Mrema
..kama mama alikuwa viwanja miaka 20 na ana Green Card kwanini anyimwe visa?
Had it been ubalozi wa bongo umefanya hivyo am sure masanja ungelaumu.kwa kuwa ni mzungu they are always right poor africansI agree, there is more to this refusal than the failure to produce "invitation letter". By the way, huo ubalozi ungejuaje kama una mtoto ambaye amepata ajali kweli, if you had no proof? If that was the case dont you think even Masanja would go and say ndugu yangu wa karibu yuko kwenye ICUs somewhere in Dakota;-)..nipeni visa..? Something is missing in this story.
Anyhow lets not indulge into conspiracy theories kwa sababu we havent heard the other side of the story. At this moment, I just wish the bereaved family strength and courage to withstand the loss of their beloved daughter.
Next time just know..wenzetu dont do their work based on sentiments and hearsay.
Poleni sana wafiwa.
"I have lived and worked in the US using a Green Card for over 20 years,"- Dr.Mrema
..kama mama alikuwa viwanja miaka 20 na ana Green Card kwanini anyimwe visa?
Her story could have easily been ascertained by calling the hospital. That's why we pay visa fees. The money is supposed to cover all processing and enquiry costs.
What they did to this lady is inhuman and unacceptable; she has every right to complain.
RIP Miss Mrema.
Wanatunyanyasa kwasababu ni maskini.
...kweli embassy hapo imekuwa kivumbi,sasa ndio wamehalalisha mtu ukikanyaga tuu states dawa ni kukamata mama la kizungu,ngabu upo hapo? ushauri wa bure huo na lile beef lako ulilolichomoa south dakota inabidi likurekebishie mambo!
Faza mi si mwenzako wewe.....wewe kama unahitaji tunye tunye la makaratasi nitafute tu babu, nitakupigia krosi
Pole za dhati kwa familia. Mungu ailaze roho ya merehemu mahali pema peponi.
Kuishi USA kwa miaka 20 halafu inakubidi urudi kuomba visa siku moja ni upuuzi (pengine aliona mume amekuwa mbunge akajua mambo tambarare). Mhh somo kwa sie wengine...Mimi hapa nilipo bila passport siondoki, sijali nikionekana sio mzalendo lakini inapotokea una mtoto icu...uzalendo hausaidii kitu.
Jamani, let us be fair, Je mnajuaje status ya huyo mama? if she was a green card holder then she does not need a visa. For a Legal Permanent Resident (LPR), unless you have lost your status , you do not need to apply for the Non Immigrant Visa to go back to U.S. If Mrs. Mrema lost her status, then how did she lose it?
It is the duty of the applicant to submit all documents if needed. The application fee payable cater for many staff and U.S does not employ people to make calls.
That is being sentimental, the issues is not umaskini ....Issue is you need to qualify for the visa.
Shadow,
Hivi kweli unajua sheria za uhamiaji zinasemaje? Soma ndugu yangu usije ukajikuta siku moja kama huyu mama.
Mimi sio mjuzi wa green card ila naamini ni kama permanent residence ya UK. Ukiamua kurudi kwenu kimoja kisheria unapoteza hapo hapo. Ukitaka kurudi lazima uombe upya, kama unataka kurudi kwa muda mfupi basi unaomba visa.
Nikisoma arguments za watu wengi hapa inaelekea kabisa hawajui sheria za immigration zinafanyaje kazi. Kama huyo mama aliamua kurudi nyumbani moja kwa moja automatically alipoteza green card yake.

I agree, there is more to this refusal than the failure to produce "invitation letter". By the way, huo ubalozi ungejuaje kama una mtoto ambaye amepata ajali kweli,
They Could all the hospital.