NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Christina Shusho aliibuka mbele ya jamii na kusema kuwa ''aliamua kuachana na mume wake na kuamua kumtumikia mungu'' na hiyo ilikuja baada ya kuona mashabiki wake wakimuuliza sana na kumsihii aolewe ndipo alipoamua kujificha kwenye kimvuli cha kumtumikia mungu lakini nyuma ya pazia ni uongo mtupu bali ana msingizia Mungu.
Ikiwa mungu kwenye amri zake akisema kuwa usizini, na kuna baadhi ya mistari ya kitabu kitakatifu akihimiza kuwa ''nendeni duniani mkazaliane'' lakini mungu aliibariki ndoa na akaleta utaratibu maalumu kuwa mke na mume waoane, MUNGU wetu hakusema kuwa ''mwanamke au mwanaume avunje ndoa ili akamtumikie''
Ukimsikiliza Christina Shusho kwa jicho la tatu hoja yake ni batili kabisa mpaka unashangaa huyu anasoma biblia gani?? mbaya Zaidi anatumia umaarufu wake na kuanza kuiaminisha jamii kuwa zinaa ni bora kuliko ndoa sasa sijui anataka kutengeneza kizazi cha namna gani kizazi ambacho kitakua hakitaki ndoa bali kinataka zinaa tu
Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kuwa Shusho hazini au hana mtu wa pembeni anayemsaidia haja zake hakuna kitu kama hicho, kwa tamko lake la kusema kuwa kaachana na mume wake na kuamua kumtumikia mungu huu ni ushetani unaohimiza zinaa kwa mashabiki wake wa nyimbo zake za kiinjili
Nitoe ushauri wangu kwa wadada/wanawake waliopo ndani ya ndoa na wanaotaka kuolewa wapuuzie upuuzi wa shusho kwani Mungu hakuandika kuwa mtu ache ndoa yake ili akamtumikie ila anachokifanya shusho ni kujificha tu ili asiulizwe na watu kwa nini unaishi single mother na wakati wewe ni mtumishi wa mungu?
amekua akidhihakiwa na masahabiki zake kwenye mitandao kuwa single muda wote na mashabiki huwa wanamua, mbia kuwa anazini maana ni ngumu kuwa single kwa binadamu uliyekamilika kwa muda hata wa mwaka mmoja.