Isaya wa njombe
Senior Member
- Apr 2, 2023
- 191
- 385
da we jamaa fala sana....kisimi Cha kimasai??Huyo kulumbembe kakutana na Wazee wa kula tunda kwa masihara wakamramba sehem za kisime cha mmasai wakapita na tigo huduma kwa wateja wakamalizia na soko la katerero[emoji23]hapo hapo akaona maisha ndo haya nilichelewa wapi akingalia mmewe anampa pigo za kipaloko kichwa kimevurugwa yule mwacheni akija kuji factor reset mambo yalisha haribika
umemuona wapi?Jamaa umri umeenda kweli.
KabisaAngekaa kimya basi, huyu kapata mtu akamkojoza imekuwa shida, yeye akae kimya maisha yasonge. Akiendelea kuongea anajidhalilisha na watoto pia.
SawaWewe ndiye mjinga wa mwisho. Sharti ungezaliwa mwanamke basi ungeelewa. Christina muacheni kabisa awe huru, hakuna kitu kibaya kama ndoa za utotoni, desturi za makaba kama wamasai na mengine mtoto hasa wa kike hahesabiki kama binaadamu bali ni kama bidhaa ya kutotoa watoto na hana mchango.
Kilichomtokea Christina kina kundi kubwa sana la wanawake waliopitia hiyo hali ya wazazi kukataa kuwasomesha watoto wa kike na kuwaoza kisa eti watatiwa mimba huko shule. In short Christina ni mwanamke shujaa, Mungu ambariki. Hatuendi mbinguni kwa kuwa na ndoa maana hata mbinguni hakuna kuoana wala kuolewa!
simba gani mnyama au Ile Simba timu au la ma Simba dangote..?Mbona za down zinasema analiwa na simba kitambo...🙄
ohoo!Demu akiitwa Christina, Jacky au Neema sikuzote jiandae kisaikolojia tu. Huwa ni malaya mmbwa
Huo ni mtazamo wako nisha wahi date na Jacky she was so loyal nlimpoteza kwa ujinga yanguDemu akiitwa Christina, Jacky au Neema sikuzote jiandae kisaikolojia tu. Huwa ni malaya mmbwa
Huna akili.Wewe ndiye mjinga wa mwisho. Sharti ungezaliwa mwanamke basi ungeelewa. Christina muacheni kabisa awe huru, hakuna kitu kibaya kama ndoa za utotoni, desturi za makaba kama wamasai na mengine mtoto hasa wa kike hahesabiki kama binaadamu bali ni kama bidhaa ya kutotoa watoto na hana mchango.
Kilichomtokea Christina kina kundi kubwa sana la wanawake waliopitia hiyo hali ya wazazi kukataa kuwasomesha watoto wa kike na kuwaoza kisa eti watatiwa mimba huko shule. In short Christina ni mwanamke shujaa, Mungu ambariki. Hatuendi mbinguni kwa kuwa na ndoa maana hata mbinguni hakuna kuoana wala kuolewa!
Orodha ya wasanii wa injili wa kike walio achana na ndoa zao baada ya umaarufu:Christina Shusho aliibuka mbele ya jamii na kusema kuwa ''aliamua kuachana na mume wake na kuamua kumtumikia mungu'' na hiyo ilikuja baada ya kuona mashabiki wake wakimuuliza sana na kumsihii aolewe ndipo alipoamua kujificha kwenye kimvuli cha kumtumikia mungu lakini nyuma ya pazia ni uongo mtupu bali ana msingizia Mungu.
Ikiwa mungu kwenye amri zake akisema kuwa usizini, na kuna baadhi ya mistari ya kitabu kitakatifu akihimiza kuwa ''nendeni duniani mkazaliane'' lakini mungu aliibariki ndoa na akaleta utaratibu maalumu kuwa mke na mume waoane, MUNGU wetu hakusema kuwa ''mwanamke au mwanaume avunje ndoa ili akamtumikie''
Ukimsikiliza Christina Shusho kwa jicho la tatu hoja yake ni batili kabisa mpaka unashangaa huyu anasoma biblia gani?? mbaya Zaidi anatumia umaarufu wake na kuanza kuiaminisha jamii kuwa zinaa ni bora kuliko ndoa sasa sijui anataka kutengeneza kizazi cha namna gani kizazi ambacho kitakua hakitaki ndoa bali kinataka zinaa tu
Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kuwa Shusho hazini au hana mtu wa pembeni anayemsaidia haja zake hakuna kitu kama hicho, kwa tamko lake la kusema kuwa kaachana na mume wake na kuamua kumtumikia mungu huu ni ushetani unaohimiza zinaa kwa mashabiki wake wa nyimbo zake za kiinjili
Nitoe ushauri wangu kwa wadada/wanawake waliopo ndani ya ndoa na wanaotaka kuolewa wapuuzie upuuzi wa shusho kwani Mungu hakuandika kuwa mtu ache ndoa yake ili akamtumikie ila anachokifanya shusho ni kujificha tu ili asiulizwe na watu kwa nini unaishi single mother na wakati wewe ni mtumishi wa mungu?
amekua akidhihakiwa na masahabiki zake kwenye mitandao kuwa single muda wote na mashabiki huwa wanamua, mbia kuwa anazini maana ni ngumu kuwa single kwa binadamu uliyekamilika kwa muda hata wa mwaka mmoja.
Aah jmn😅Demu akiitwa Christina, Jacky au Neema sikuzote jiandae kisaikolojia tu. Huwa ni malaya mmbwa
9.Atosha kisava.(Kila mtu anasema u mwema ..)orodha ya wasanii wa injili wa kike walio acha ana ndoa zao baada ya umaarufu:
1.Sarah Mvungi
2.Neema Mwaipopo (sipati picha)
3.Bahati bukuku (walaka)
4.Florah Mbasha
5.Janeth Mrema (Piga makofi)
6.Upendo Kilahiro (Mungu unaishi)
7.Angel bernard (siteketei)
8.Martha Mwaipaja
9.
10
11.
Ni kweli waimbaji wote hawa waliolewa na wanaume wabaya?
ANGALIZO: Ukiwa na mke, mchumba ni mwimbaji asiye na jina. basi uhai wa mahusiano yenu yako mashakani umaarufu ukimvaa.
# KIJANA KATAA NDOA
Mambo xtinaAah jmn😅
Acha hizo basi,duh
Duh🤣🤣🤣Mambo xtina
HATARI SANA MKUUMuacheni huyo dada ajipigie mapene ya wajinga waliojazana kwenye mfumo wa dini.
Mtu yeyote makini aliyekuwa na imani ya kutosha, kufunga, kusali na kufuata masharti ya dini, atagundua uzushi uliojificha ndani yake chap chap na anaweza kuamua kutumia fursa hiyo kiuchumi badala ya kiimani.
So, Shusho ana haki ya kuishi anavyotaka na si watakavyo mababu wa kiyahudi.