Mpuuzieni Christina Shusho, anatumika na shetani kuiaminisha jamii kuwa zinaa ni bora kuliko ndoa

Attachments

  • MANENO_YA_CHRISTINA_SHUSHO_NA_MUMEWE_KWENYE_SEND_OFF_YA_BINTI_YAO_WA_KWANZA_ODESIA_SHUSHO.(480p).mp4
    5.2 MB
HILO KAHABA NILISHALIPUUZIA SIKU NYINGI.
 
Ila ukweli mchungu muonekano wa yule mzee shusho hapana kwakwel ingawa mwanaume Hana ulazima wa Kuwa mzuri ila yule Mzee kazidi kamuharibia mbegu kabisa Christina wote wamefanana na baba yao Christina ana haki ya kumuacha tu
 
Atakuwa mzinzi
 
mmmh jamani !!
Ila ukweli mchungu muonekano wa yule mzee shusho hapana kwakwel ingawa mwanaume Hana ulazima wa Kuwa mzuri ila yule Mzee kazidi kamuharibia mbegu kabisa Christina wote wamefanana na baba yao Christina ana haki ya kumuacha tu
 
Dini biashara Kama biashara zingine tu kikubwa ujue kuwavuta watu tu
 
Ili swala la kulana nyap ni gumu sana hata uku mtaani limewashinda walokole wengi hata walioolewa wanaliwa tu kama madanga na usimpompa ela unaachwa na matusi juu.
Ko uyu dada tunamlaumu bure maisha ni mafupi acha nae ale nyama ingali meno ipo, menopozi iyoooo
 
Mkuu NALIA NGWENA achana na hizi mambo; twende kule kwetu tupeane michongo ya kumpiga Kanji
 
Penyii palipali pa mfaranyaki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…