Mpweke!

nadhani mtu mwenye digrii anaondoa umasikini kwa asilimia mia moja jaribu kubuni kitu upate hela.. ndugu yangu..
<br />
<br />
kuhusu umaskin sio ishu,coz namalizia kusajili Ngo ye2 ambayo itaanza ku operate mwezi wa 12.then entertainment company itakuwa hewan any time so nipo makin kaka! Mi nahitaji mpz kaka! Hope umenielewa
 
poa kaka kama una ngo basi ushatoka sasa..
 
mkuu hizo rangi zako pita huku pande za bariadi, ila jipange wazee wa kinyantuzu wanapiga mahari mbaya ng'ombe 50/100 ni rahisi sana kukuropokea ili wakupe mke.......kila la kheri bro
 
Kazi ipo, vijana wa siku hizi ni madomo zege. Wameamua kutumia social networking tools kupata wasichana. Hii kali, ila kazana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…