- Thread starter
- #21
<br />nadhani mtu mwenye digrii anaondoa umasikini kwa asilimia mia moja jaribu kubuni kitu upate hela.. ndugu yangu..
<br />
kuhusu umaskin sio ishu,coz namalizia kusajili Ngo ye2 ambayo itaanza ku operate mwezi wa 12.then entertainment company itakuwa hewan any time so nipo makin kaka! Mi nahitaji mpz kaka! Hope umenielewa