Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Unaongelea mdahalo wa bwana Odemba? mtafuta kick?Chama dola kongwe CCM chama kinacho ogopa midahalo
CHADEMA bhana!!! 🤣 🤣 🤣 🤣"Hali ya nchi Tanzania ni ngumu, tete na ina utata (alisema Mzee Kingunge) ukitazama katika televisheni unaona askari polisi wanajiandaa kwa kujitokeza hadharani .... waziri wa mambo ya ndani .... wakuu wa mikoa na maDC wanatoa matamshi ya ubabe na vitisho ... "- hiyo ilikuwa mwaka 2016 miaka 8 iliyopita anasema Kingunge.
View attachment 3084368
Picha: komredi Kingunge Ngombale-Mwiru
Maneno hayo ya miaka 8 iliyopita yanatokea kiaina 2024 ingawa kuna 4R na midahalo kukimbia, wanachama 500 wa CHADEMA kushikiliwa na polisi siku ya Vijana Duniani , watu kuteka, kutupwa msituni Katavi Mpanda...
Kikao cha kujadili ujinga.Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Kamati Kuu Maalum ya CCM, inayokutana jijini Dar Es Salaam, Jumapili Septemba 01, 2024.
View attachment 3084352
View attachment 3084353
Kafanya nini huyu mwenyekiti wa wilaya ya Bagamoyo? Au.... basi!
View: https://m.youtube.com/watch?v=Jpvb_4DZO0c
Yawavua nafasi za uongozi mwenyekiti wa CCM wilaya ya Bagamoyo ndugu Abdusharifu Zahoro na pia mwenyekiti wa jumuiya ya UWT mkoa wa Lindi bi. Palina Ninge kwa kukiuka maadili ya uongozi
View attachment 3084494
Picha : mwenyekiti wa chama hicho, Wilaya ya Bagamoyo, Abdusharifu Zahoro