Mpya kutoka TCU kuhusu udahili

Mpya kutoka TCU kuhusu udahili

ENANTIOMER

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2014
Posts
1,419
Reaction score
804
hii itawahusu wale ambao walifanya transfer kupitia vyuo husika.
Itakula kwao.
Taarifa yenyewe ni hii hapa
:
Tume ya vyuo vikuu tanzania (tcu) ina mamlaka kisheria kusimamia na
kuratibu udahili wa wanafunzi wote wanaojiunga na vyuo vikuu vyote
nchini tanzania.
Tume imebaini kuwa, hivi karibuni baadhi ya vyuo vikuu vimekuwa
vikitangaza kudahili wanafunzi moja kwa moja kupitia vyuo vyao kwa
mwaka wa masomo 2014/2015. Ifahamike kuwa, utaratibu unaotambulika
kisheria ni wa kudahili wanafunzi kupitia tume ya vyuo vikuu tanzania
na si vinginevyo. Hivyo mwanafunzi atakayeomba na kupatiwa udahili
kupitia chuoni moja kwa moja, udahili wake hautatambulika.
Tume inapenda kusisitiza kuwa waombaji wote wenye sifa za kujiunga na
vyuo vikuu wanapaswa kufuata taratibu na miongozo iliyowekwa na
tume.

Attachments

TUME YA VYUO VIKUU TANZANIA (TCU)
TAARIFA KWA UMMA
TUME YA VYUO VIKUU TANZANIA (TCU) INA MAMLAKA KISHERIA KUSIMAMIA NA KURATIBU UDAHILI WA WANAFUNZI WOTE WANAOJIUNGA NA VYUO VIKUU VYOTE NCHINI TANZANIA.
TUME IMEBAINI KUWA, HIVI KARIBUNI BAADHI YA VYUO VIKUU VIMEKUWA VIKITANGAZA KUDAHILI WANAFUNZI MOJA KWA MOJA KUPITIA VYUO VYAO KWA MWAKA WA MASOMO 2014/2015. IFAHAMIKE KUWA, UTARATIBU UNAOTAMBULIKA KISHERIA NI WA KUDAHILI WANAFUNZI KUPITIA TUME YA VYUO VIKUU TANZANIA NA SI VINGINEVYO. HIVYO MWANAFUNZI ATAKAYEOMBA NA KUPATIWA UDAHILI KUPITIA CHUONI MOJA KWA MOJA, UDAHILI WAKE HAUTATAMBULIKA.
TUME INAPENDA KUSISITIZA KUWA WAOMBAJI WOTE WENYE SIFA ZA KUJIUNGA NA VYUO VIKUU WANAPASWA KUFUATA TARATIBU NA MIONGOZO ILIYOWEKWA NA TUME.
IMETOLEWA NA KATIBU MTENDAJI
TUME YA VYUO VIKUU
KWA MAWASILIANO ZAIDI:
BARUA PEPE: es@tcu.go.tz
SIMU: +255 222772657
10-OCTOBA- 2014
 
apo kazi ipo!
 
Hii iko pouwa sisi tulienda bugando wakati wa transfer wakatuambia kuwa hawaruhusiwi kufanya direct admission badala yake wakacheki kama tunaqualify so tukapewa recommended letter signed by cuhas DVC wakatuambia tuiambatanishe na tcu transfer form then tuziscan pamoja tuzitume tcu then selection zenyewe zitafanywa na tcu...kutokana na hilo ndo leo na prove kumbe TCU ina power zake isingekuwepo ina maana tungepata direct admission....poleni mlioenda stella maris kwa transfer coz nasikia ilikuwa ni kwenda chuoni then unapata direct admission then jina linatumwa tcu dah!
 
Wabongo bwana sijui mkoje...yann wewe ulikuja hapa hapa na kuipondea TCU kuwa transfer ni kalagha bao na ulienda Bugando ukakuta nafasi 10 za MD zimejazwa directly vyuoni....leo unakuja unadai TCU ni bomba sana na ina power....kwanini unakua kama mwanamke asiye na msimamo???
 
Hii iko pouwa sisi tulienda bugando wakati wa transfer wakatuambia kuwa hawaruhusiwi kufanya direct admission badala yake wakacheki kama tunaqualify so tukapewa recommended letter signed by cuhas DVC wakatuambia tuiambatanishe na tcu transfer form then tuziscan pamoja tuzitume tcu then selection zenyewe zitafanywa na tcu...kutokana na hilo ndo leo na prove kumbe TCU ina power zake isingekuwepo ina maana tungepata direct admission....poleni mlioenda stella maris kwa transfer coz nasikia ilikuwa ni kwenda chuoni then unapata direct admission then jina linatumwa tcu dah!

bora tcu wameonyesha makucha yao. Kuna mdogo wangu alikua ameshakata tamaa.
 
Back
Top Bottom