Mpya:SASA WAMEWEKA SELECTION STATUS KWA KILA CHUO ULICHOCHAGUA

Jomla

Member
Joined
Sep 25, 2011
Posts
77
Reaction score
63
Ni kulogin na kubofya tu profile then selection status,kwisha!
 
Hivi hua mnafikiria kwanza kabla ya ku post thread mpya?? honestly this is stupidity action, mtatutakia BAN pasipo sababu za msingi
 
BAN wapii we fuata mambo yako, kata, kunjaa yani pita hiviii
 
Dogo ukamate adabu, unafungua mi post ya kijinga inamaana huoni ulichopost ni marudio na hakina maana, upitie kwanza nyuzi zingine kabla hujakurupuka na yako
 
Back
Top Bottom