MPYA! Wamiliki Gari za Uber na Bolt Usipuuzie...!

MPYA! Wamiliki Gari za Uber na Bolt Usipuuzie...!

Nafikiri hakuna sehem inahusisha pesa kwenye huu uzi. Nahisi tunaweza comment kitu bora Zaid ya hiki au hata kuuliza swali kwa manufaa yako na wote asante
Ukisoma vizuri nikichoandika utakiri kuwa nami hakuna sehemu niliyotaja pesa,neno pesa umeandika wewe na nahisi linaakisi mawazo yako

Na ukirudi kusoma pia ukichoandika mwanzoni mwa makala yako,moja ya madhumuni ya biashara yako ni kumuhakikishia mwenye gari kupata au kuongeza kipato(pesa) sasa unakataaje kuwa maudhui yako hayahusiani na hayajataja pesa

Ila tangazo na nia yako ni nzuri na utawasaidia wengi wenye uhitaji na ningekuwa na hiyo biashara ningekufuata kwa hiyo huduma....mwamba piga kazi
 
Ukisoma vizuri nikichoandika utakiri kuwa nami hakuna sehemu niliyotaja pesa,neno pesa umeandika wewe na nahisi linaakisi mawazo yako

Na ukirudi kusoma pia ukichoandika mwanzoni mwa makala yako,moja ya madhimuni ya biashara yako ni kumuhakikishia mwenye gari kupata au kuongeza kipato(pesa) sasa unakataaje kuwa maudhui yako hayahusiani na hayajataja pesa

Ila tangazo na nia yako ni nzuri na utawasaidia wengi wenye uhitaji na ningekuwa na hiyo biashara ningekufuata kwa hiyo huduma....mwamba piga kazi
Samahani labda nikupishana kwa uwelewa na asante kwa mawazo yako
 
Kwa Ushauri kuhusu Biashara hii Wasiliana nasi 0744773776
 
Habari zenu!

Naomba msaada natafuta Bajaji ya kufanyia kazi kwa umakini.
Nipo tayari kwa mkataba au kawaida kuleta hesabu kwa siku. Nina uzoefu pamoja na uaminifu.

Nina Leseni na kitambulisho cha taifa (NIDA)
Namba: 0674074563
Nipo tayari kufanya kazi sehemu yoyote kwa Dar es Salaam.
Nipo Dar es Salaam
 
Back
Top Bottom