kategile Member Joined Dec 25, 2014 Posts 18 Reaction score 1 Oct 26, 2016 #1 EXCLUSIVE LEO USIKU KATIKA MICHEZO NA BURUDANI. Wana- Nkurukumbi Kagera Sugar yawasimamisha Mlinda Mlango Husein Shariff pamoja na Beki wa kati Erick Charles wakiwahusisha na upangaji wa Matokeo kufuatia kipigo cha Mabao 6-2 Kutoka kwa Yanga.
EXCLUSIVE LEO USIKU KATIKA MICHEZO NA BURUDANI. Wana- Nkurukumbi Kagera Sugar yawasimamisha Mlinda Mlango Husein Shariff pamoja na Beki wa kati Erick Charles wakiwahusisha na upangaji wa Matokeo kufuatia kipigo cha Mabao 6-2 Kutoka kwa Yanga.
M MENGELENI KWETU JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 9,552 Reaction score 24,166 Oct 26, 2016 #2 Kwa mpira gani walionao Kagera Sugar..
babatovu JF-Expert Member Joined May 5, 2014 Posts 2,739 Reaction score 1,602 Oct 26, 2016 #3 MAN U wamekula 4 juzi, wamemsimasha nani? Blind? Wacha tuendelee kupiga ramli.
Nas Mapesa JF-Expert Member Joined Jul 31, 2014 Posts 5,286 Reaction score 5,421 Oct 26, 2016 #4 hawa wa leo itabidi wawasimamishe wachezaji wote