Mpyaa

Mpyaa

kategile

Member
Joined
Dec 25, 2014
Posts
18
Reaction score
1
EXCLUSIVE LEO USIKU KATIKA MICHEZO NA BURUDANI.

Wana- Nkurukumbi Kagera Sugar yawasimamisha Mlinda Mlango Husein Shariff pamoja na Beki wa kati Erick Charles wakiwahusisha na upangaji wa Matokeo kufuatia kipigo cha Mabao 6-2 Kutoka kwa Yanga.
 
MAN U wamekula 4 juzi, wamemsimasha nani? Blind? Wacha tuendelee kupiga ramli.
 
Back
Top Bottom