Mhaya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2023
- 2,818
- 7,940
Mtengeneza Maudhui Maarufu wa Marekani kupitia YouTube, Mr. Beast naye Ametangaza rasmi Kuwa atatembelea Nchi ya Kenya baada ya kutoka Dubai na baadaye kwenda Ghana na Mexco hivi karibuni.
Mwanamitandao huyo mwenye Ukaribu na #IShowSpeed ambaye pia anaendelea na ziara yake Afrika, Mr. Beast atafika Kenya na baadaye ataenda Rwanda akiyaruka Mataifa mengine ya Afrika Mashariki kama Tanzania, Uganda na Congo kama ilivyokuwa kwa Speed alivyoruka hayo mataifa.
Mr beast ameyasema hayo kupitia kwenye Live streaming ya Streamer @ :Jasontheweeni huko Marekani.