Angekua bongo ungeskia eminem anamzarau mtu kama Dr DreeEminem kwa account yake ya tweeter hana hata mmoja
Duu! Umemlenga ya Uso aiseemwanaume una shobo kama la kike, maisha yake yanakuhusu nini jinga wewe
Diamond yupo juu mpaka anakeraAmeamua kum unfollow mpaka Diamond Platnumz na crew nzima ya wasafi .
Hatari sana.Maneno ya kike kuongelewa na mwanaume hapo kuna tatizo
Me nampenda sana lkn nimemu unfollow na kum block juu..Diamond yupo juu mpaka anakera
Hata ningekua mimi ningemu infollow tu
Jamaa kila Siku nakwambia kuna haja ya wewe kucheki jinsia yako vizuri,asubuhi yote hii bado watu tuna kauchovu cha mechi ya asubuhi mwenzetu umekurupuka kama kawaida yako umeanzisha thread ya kikuda,hii inaonyesha kwamba umelala usiku mzima ukimuwaza khery sameer na chuki zako zisizo za msingi,kisa tu hakuwafollow mabwana zako wa WCB basi umeona uje utudekee humu,unampangia maisha wewe ni mke wake?,unamnunulia bando??,unajua interest zake!? Huu ni uchawi wa kike kabisa ndugu yangu
Duuh aisee! kumbe ni chakulaYule ni mwanaume lakini anacheza timu pinzani.
AiseeHance Mtanashati: atakuwa @shemale sio bure