Mr. Blue acha kujikweza

Mr. Blue acha kujikweza

Eti unasemaje kwamba katika top ten Mr Blue ayupo???? Labda yule Mr Blue wa kwenye ukoo wenu lakini sio yule wa micharazo nigga is a king
 
Jamaa kila Siku nakwambia kuna haja ya wewe kucheki jinsia yako vizuri,asubuhi yote hii bado watu tuna kauchovu cha mechi ya asubuhi mwenzetu umekurupuka kama kawaida yako umeanzisha thread ya kikuda,hii inaonyesha kwamba umelala usiku mzima ukimuwaza khery sameer na chuki zako zisizo za msingi,kisa tu hakuwafollow mabwana zako wa WCB basi umeona uje utudekee humu,unampangia maisha wewe ni mke wake?,unamnunulia bando??,unajua interest zake!? Huu ni uchawi wa kike kabisa ndugu yangu

Angekua krb ungempa kofi kabisa, shenzy zake🤣🤣🤣🤣
 
Sasa Mimi sijakuelewa manake kwanza umesema huyo msanii wala siyo Star na hata wakiitwa mastaa watoke yeye hawezi kutoka,halafu kwenye maelezo yako hayo hayo mbele umesema "imefika pahala ananata mpaka kwa mastaa wenzake". Ndio nini sasa au hujui unachokiongea!?
 
Beyonce hata mmewe hajamfollow..kwaiyo anajikweza?
Screenshot_20181021-141224.jpeg
 
Back
Top Bottom