casanova69
JF-Expert Member
- Sep 14, 2015
- 2,361
- 2,166
hahaa jamaa kazidisha ugumu.Eminem kwa account yake ya tweeter hana hata mmoja
Sio marafiki tu maisha kwa ujumlaUnampangia marafiki???
Mwambie mshamba uyu anamfananisha Babylon Bizzy na wapuuzi wa wa wasafi!??Taka nyingine bwana....
We endelea na mmeo tu Floyd.
Babylon bizzy anaheshima zake.
Ameukimbia Uzi hatimaye anachagua comment za kujibu[emoji23][emoji23][emoji23]Alichokutana nacho mleta mada ndio kile kipigo cha mbwa koko!
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Kawa ndugu yako tena?Jamaa kila Siku nakwambia kuna haja ya wewe kucheki jinsia yako vizuri,asubuhi yote hii bado watu tuna kauchovu cha mechi ya asubuhi mwenzetu umekurupuka kama kawaida yako umeanzisha thread ya kikuda,hii inaonyesha kwamba umelala usiku mzima ukimuwaza khery sameer na chuki zako zisizo za msingi,kisa tu hakuwafollow mabwana zako wa WCB basi umeona uje utudekee humu,unampangia maisha wewe ni mke wake?,unamnunulia bando??,unajua interest zake!? Huu ni uchawi wa kike kabisa ndugu yangu
Mr blue ni legend sio superstarMr Blue wa siku hizi sio yule wa miaka ile.
Siku hizi jamaa kabadilika sana yani anajisikia kweli mpaka anaboa.
Hivi ni nani anamdanganya huyu jamaa kwamba na yeye ni staa hapa TZ? Hivi tukisema tupange listi ya mastaa Mr Blue naye atatoka? Si itakuwa ajabu la mwaka hilo.
Miaka ya nyuma jamaa alikuwa homie sana yani haringi wala nini halafu hajikwezi ila siku hizi doooooh anaboa,imefika pahala ananata mpaka kwa mastaa wenzake.
Mwanzoni Insta alikuwa amewafollow mastaa wengi tu (2K+)ila siku hizi baada ya kuota mapembe kawa unfollow wote amebakisha 31 tu na hakuna staa hata mmoja wa kibongo.
Ameamua kum unfollow mpaka Diamond Platnumz na crew nzima ya wasafi .
Kwa mwendo huu jamaa atazidi kupotea.View attachment 904145
duuh jamaa wewe unapiga za uso kama TysonJamaa kila Siku nakwambia kuna haja ya wewe kucheki jinsia yako vizuri,asubuhi yote hii bado watu tuna kauchovu cha mechi ya asubuhi mwenzetu umekurupuka kama kawaida yako umeanzisha thread ya kikuda,hii inaonyesha kwamba umelala usiku mzima ukimuwaza khery sameer na chuki zako zisizo za msingi,kisa tu hakuwafollow mabwana zako wa WCB basi umeona uje utudekee humu,unampangia maisha wewe ni mke wake?,unamnunulia bando??,unajua interest zake!? Huu ni uchawi wa kike kabisa ndugu yangu
Wewe beki tatu wa Diamond tumekuchoka sasa kha!Mr Blue wa siku hizi sio yule wa miaka ile.
Siku hizi jamaa kabadilika sana yani anajisikia kweli mpaka anaboa.
Hivi ni nani anamdanganya huyu jamaa kwamba na yeye ni staa hapa TZ? Hivi tukisema tupange listi ya mastaa Mr Blue naye atatoka? Si itakuwa ajabu la mwaka hilo.
Miaka ya nyuma jamaa alikuwa homie sana yani haringi wala nini halafu hajikwezi ila siku hizi doooooh anaboa,imefika pahala ananata mpaka kwa mastaa wenzake.
Mwanzoni Insta alikuwa amewafollow mastaa wengi tu (2K+)ila siku hizi baada ya kuota mapembe kawa unfollow wote amebakisha 31 tu na hakuna staa hata mmoja wa kibongo.
Ameamua kum unfollow mpaka Diamond Platnumz na crew nzima ya wasafi .
Kwa mwendo huu jamaa atazidi kupotea.View attachment 904145
Wasafi miyeyusho, kafanya jambo la maana sana kuwa-unfollowMr Blue wa siku hizi sio yule wa miaka ile.
Siku hizi jamaa kabadilika sana yani anajisikia kweli mpaka anaboa.
Hivi ni nani anamdanganya huyu jamaa kwamba na yeye ni staa hapa TZ? Hivi tukisema tupange listi ya mastaa Mr Blue naye atatoka? Si itakuwa ajabu la mwaka hilo.
Miaka ya nyuma jamaa alikuwa homie sana yani haringi wala nini halafu hajikwezi ila siku hizi doooooh anaboa,imefika pahala ananata mpaka kwa mastaa wenzake.
Mwanzoni Insta alikuwa amewafollow mastaa wengi tu (2K+)ila siku hizi baada ya kuota mapembe kawa unfollow wote amebakisha 31 tu na hakuna staa hata mmoja wa kibongo.
Ameamua kum unfollow mpaka Diamond Platnumz na crew nzima ya wasafi .
Kwa mwendo huu jamaa atazidi kupotea.View attachment 904145
Wewe beki tatu wa Diamond tumekuchoka sasa kha!
Kwa nn nduguWasafi miyeyusho, kafanya jambo la maana sana kuwa-unfollow
We unawaonaje kwa mtazamo wako?