Mr. Blue acha kujikweza

Mr. Blue acha kujikweza

Alichokutana nacho mleta mada ndio kile kipigo cha mbwa koko!

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Ameukimbia Uzi hatimaye anachagua comment za kujibu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tafuta Show ya Blue Ndo utajua Kama ni supastaa au ni GOAT
 
Acha shobo!! Ila nahisi ni kwa sababu ameacha kuvuta bangi! Bangi si inamfanya mtu anakuwa humble? Anakuwa down.peace and love kwa masela na wana I n I fasta!! Labda ndomana ana wenge
 
Jamaa kila Siku nakwambia kuna haja ya wewe kucheki jinsia yako vizuri,asubuhi yote hii bado watu tuna kauchovu cha mechi ya asubuhi mwenzetu umekurupuka kama kawaida yako umeanzisha thread ya kikuda,hii inaonyesha kwamba umelala usiku mzima ukimuwaza khery sameer na chuki zako zisizo za msingi,kisa tu hakuwafollow mabwana zako wa WCB basi umeona uje utudekee humu,unampangia maisha wewe ni mke wake?,unamnunulia bando??,unajua interest zake!? Huu ni uchawi wa kike kabisa ndugu yangu
Kawa ndugu yako tena?

Hebu rekebisha hapo msije mka share tabia😂😂😂
 
Mr Blue wa siku hizi sio yule wa miaka ile.

Siku hizi jamaa kabadilika sana yani anajisikia kweli mpaka anaboa.

Hivi ni nani anamdanganya huyu jamaa kwamba na yeye ni staa hapa TZ? Hivi tukisema tupange listi ya mastaa Mr Blue naye atatoka? Si itakuwa ajabu la mwaka hilo.

Miaka ya nyuma jamaa alikuwa homie sana yani haringi wala nini halafu hajikwezi ila siku hizi doooooh anaboa,imefika pahala ananata mpaka kwa mastaa wenzake.

Mwanzoni Insta alikuwa amewafollow mastaa wengi tu (2K+)ila siku hizi baada ya kuota mapembe kawa unfollow wote amebakisha 31 tu na hakuna staa hata mmoja wa kibongo.

Ameamua kum unfollow mpaka Diamond Platnumz na crew nzima ya wasafi .

Kwa mwendo huu jamaa atazidi kupotea.View attachment 904145
Mr blue ni legend sio superstar
 
Jamaa kila Siku nakwambia kuna haja ya wewe kucheki jinsia yako vizuri,asubuhi yote hii bado watu tuna kauchovu cha mechi ya asubuhi mwenzetu umekurupuka kama kawaida yako umeanzisha thread ya kikuda,hii inaonyesha kwamba umelala usiku mzima ukimuwaza khery sameer na chuki zako zisizo za msingi,kisa tu hakuwafollow mabwana zako wa WCB basi umeona uje utudekee humu,unampangia maisha wewe ni mke wake?,unamnunulia bando??,unajua interest zake!? Huu ni uchawi wa kike kabisa ndugu yangu
duuh jamaa wewe unapiga za uso kama Tyson
 
Mr Blue wa siku hizi sio yule wa miaka ile.

Siku hizi jamaa kabadilika sana yani anajisikia kweli mpaka anaboa.

Hivi ni nani anamdanganya huyu jamaa kwamba na yeye ni staa hapa TZ? Hivi tukisema tupange listi ya mastaa Mr Blue naye atatoka? Si itakuwa ajabu la mwaka hilo.

Miaka ya nyuma jamaa alikuwa homie sana yani haringi wala nini halafu hajikwezi ila siku hizi doooooh anaboa,imefika pahala ananata mpaka kwa mastaa wenzake.

Mwanzoni Insta alikuwa amewafollow mastaa wengi tu (2K+)ila siku hizi baada ya kuota mapembe kawa unfollow wote amebakisha 31 tu na hakuna staa hata mmoja wa kibongo.

Ameamua kum unfollow mpaka Diamond Platnumz na crew nzima ya wasafi .

Kwa mwendo huu jamaa atazidi kupotea.View attachment 904145
Wewe beki tatu wa Diamond tumekuchoka sasa kha!
 
Nilifikiri umekutana naye kisha ukamsalimia na akakukaushia.
 
Mr Blue wa siku hizi sio yule wa miaka ile.

Siku hizi jamaa kabadilika sana yani anajisikia kweli mpaka anaboa.

Hivi ni nani anamdanganya huyu jamaa kwamba na yeye ni staa hapa TZ? Hivi tukisema tupange listi ya mastaa Mr Blue naye atatoka? Si itakuwa ajabu la mwaka hilo.

Miaka ya nyuma jamaa alikuwa homie sana yani haringi wala nini halafu hajikwezi ila siku hizi doooooh anaboa,imefika pahala ananata mpaka kwa mastaa wenzake.

Mwanzoni Insta alikuwa amewafollow mastaa wengi tu (2K+)ila siku hizi baada ya kuota mapembe kawa unfollow wote amebakisha 31 tu na hakuna staa hata mmoja wa kibongo.

Ameamua kum unfollow mpaka Diamond Platnumz na crew nzima ya wasafi .

Kwa mwendo huu jamaa atazidi kupotea.View attachment 904145
Wasafi miyeyusho, kafanya jambo la maana sana kuwa-unfollow
 
Back
Top Bottom