ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Aisee hii angle huwa unakatiza!!?teh teh
kuanzia next month naanza kutongoza wanawake "classic", na kuhonga juu, nitapendwa tu.
teh teh teh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee hii angle huwa unakatiza!!?teh teh
kuanzia next month naanza kutongoza wanawake "classic", na kuhonga juu, nitapendwa tu.
teh teh teh
Tutake radhi mwana ... adamu weye!!BAKWATA Wao wanachojali ubwabwa Tu Kuna mashehe wanakuja na pilipili zao.
Kwanini unashindwa kumuelewa huyo mwanamke mwenzako?elewaneni tafadhari.Ukweli unauma Sana, by the way do you think that am stupid as you?am surely you are cursed with your name
Dini za makafiri hizi, you're nastyWe Fala kuuza duka la kaka ako usipate jeuri ya kukebehi dini za watu..Useless
na iwe hivyo Amen.Sidhani, Blue namuona anajitambua sana, Mungu asimamie nyumba yake bado ni kijana mdogo amefanya Jambo jema.
Nakatizaga sana mkuu, nashangaa kukuona wewe hapa...Aisee hii angle huwa unakatiza!!?
= talaka
Kweli kabisa, na PIA na mifuko ya Rambo wanaficha kwenye hizo gaun zao nyeupe
Ndo matatizo ya kuugua degedege utotoniDini za makafiri hizi, you're nasty
Nah! Kashiba ubwabwaHilo tumbo ni mimba ya tatu au?
Nilikuvuta ili uje, yale mavazi alivaa yesu PIA, kama wapenda Sana dini ifie bas, ndo ntakuona mwanamke haswaWe kapuku, hivi ile anayovaa pengo na papa ni nini?
Punguani wahed.
Ila hakushindi jinsi unavyompenda Konda wa bodaboda.Hongera kwao.....
Huyo dada anampeda sana Mr blue..
Ila hakushindi jinsi unavyompenda Konda wa bodaboda.
Zaidi ya blue anavyompenda mke wakeKonda wa bodaboda ye ananipenda???