Halafu mashabiki wanaimba nae hata akisema sema weeeweee... ila jamaa anayo pumzi kubwa sana stageniupo sahihi mkuu,nimepata kuona kwenye tv na pia live show zake,jamaa hana mpinzani hata media zinajua na wasanii pia wanajua.kuna show moja nilikua na wasanii backstage,blue aliposhuka alishangiliwa vibaya mno na kina darasa nk baada ya kuua show kinoma.
Sijui lini mtaacha ujinga wenu kujikuta wajuaji!.. Ujinga upo wapi hapo!?, usikute ukitoka sana ni mikoa 2 toka sehemu ulipozaliwa!..Tanzania ndo nchi ya kwanza dunain kwa kusifia vitu vya kijinga
hahahaha wewe unapenda ligi sana hahahaPumzi? unajua idadi ya nyimbo anazo perform Diamond na Mr. Blue? Diamond muda mwingi anaimba na kucheza kwa step sawa na madancer wake,pumzi anayotumia huwezi linganisha na Mr. Blue. Blue anaweza kuwa mzuri stajini sikatai ila sio kwa kusema ni bora kuliko wasanii wote, hata Rostam hawafikii kwa perfomance na pumzi jukwaani.
hahahaha mkuu mimi huku huwa ni makazi yangu na ni mwenyeji wa hili jukwaa kitambo...huwa nakuja kujadili burudani bila stress...naona mkuu siasa umestafu umeibukia kwenye bongo flava na bolingo yamobimba....hahaaaaa
sisi tupobize na majonziya ajali mkuu
Kabla ya dully Sykes kutoka na juma natureThe Babylon Biz a.k.a Kabayser.
'PESA' is among of the mostly played track in my music library.
-Kaveli-
Binafsi namuona Blue kama nabii wa muziki.ukitazama hapo nyuma Blue alikuwa anavaa kinyamwezi sana watu walikuwahawamuelewi time imepita Leo anavaa casual sana na anatokelezea fresh.wasanii wengine Leo hii ndo wanavaa kama Blue kipindi hicho wanajihisi wao wako na peak ya stly kumbe jamaa alishapita huko.kumfananisha mr. Blue na wasanii wengine wa bongo flabor ni sawa na kufananisha kifo na usingizi, blue kawaacha mbali sana wabongo flavor, kuanzia anaanza mziki blue sio kwenye stage tu hata nyimbo zake na video zake ni tofauti kabisa kama sio wa nchi hii, ukitaka kuona tofauti ya blue na wengine angalia video moja tu ya blue ya mapozi, kawaida kwa wasiojua maana ya video au movie ni kuonesha kwa vitendo, na ndio maana miaka mingi tumeluwa tukiangalia movies za kihindi wala hicho kihindi chenyewe hatukijui, lakini ukitaka mtu akutafsirie atakupa picha kwa usahihi kuliko huyo muhindi mwenyewe, ukiangalia video ya mapozi kuanzia mwanzo hadi mwisho alichokiimba ndio alichokicheza kwenye video, na ndio kwenye video na ngoma zake zote yuko hivyo, kuna watu wanasema blue ni mzuri kwenye kolabo lakini nyimbo alizoimba mwenyewe blue ndio zimemtangaza yeye kama yeye, msanii wa kibongo aliemfuatia kwa karibu na nahisi angeliweza kumchalenji blue ni snoop lee, ila sijui alipotelea wapi maana mara ya mwisho nilikutana nae sinza club sansiro kwenye staight music hip hop talent search mwaka 2008, tulikuwa naye pamoja na AY tukicheki vipaji sijui kapotelea wapi.
Blue hata uumpe jukwaa kubwa vip utaliona dogo hata kama yupo pekee yakeNi kweli jamaa yuko vizur, ana energy ya kutosha na anakubalika kwa mashabiki kitu kinachofanya show zake zivutie.
Ila huku mikoani sio wakumlinganisha na hao waimba singeli.
Hao waimba singeli hawapo katika level hizo unazojaribu kuwalinganisha labda huko Dar.
Ila jamaa jukwaa analiweza
Diamond atapata wengi sana na si jambo LA kushangaza ila Kwa Mr blue ni habari nyingine anaamshaamsha kwenye jukwaa.jaribu kupitia show za fiesta uone mini Blue anafanya na anapandishwa pale msanii aliepita kapiga bila mavibe yakutosha so watu wanatakiwa kupata vibe ndo blue anapanda.Wekeni ufafanuzi vizuri mnaposema Tanzania nzima na ipigwe kura isiyo na upendeleo
Diamond ana show muda sawa na Mr Blue na jijini, wangapi watakwenda kwa Blue?
In no particular order, nyimbo za Mr Blue nazosikiliza ni (+collabos);
1. Pesa
2. Tuko Pamoja
3. Mboga saba (Ali Kina)
4. Tabasamu (Steve R & B)
5. We ni wangu (Belle 9)
6. Dhahabu (Dully + Joselyn)
7. Nilikataa (TID + Q Chief)
Hizo ndo ambazo mara nyingi sana nasikiliza siku nikitaka kumsikiliza Byser
Wakali wa hizo fani unawatambua vyema.Niukweli Mr. Blue anamiliki jukwaa.
Fid Q anasahau mistari.
Roma anajitahidi saana tena saana.
Acha leo nami niwe shabiki.Wekeni ufafanuzi vizuri mnaposema Tanzania nzima na ipigwe kura isiyo na upendeleo
Diamond ana show muda sawa na Mr Blue na jijini, wangapi watakwenda kwa Blue?
In no particular order, nyimbo za Mr Blue nazosikiliza ni (+collabos);
1. Pesa
2. Tuko Pamoja
3. Mboga saba (Ali Kina)
4. Tabasamu (Steve R & B)
5. We ni wangu (Belle 9)
6. Dhahabu (Dully + Joselyn)
7. Nilikataa (TID + Q Chief)
Hizo ndo ambazo mara nyingi sana nasikiliza siku nikitaka kumsikiliza Byser
Niaje upo?Wakali wa hizo fani unawatambua vyema.
Hebu chana kidogo mkuu,
Ujuzi haupotei[emoji23][emoji23]