kumfananisha mr. Blue na wasanii wengine wa bongo flabor ni sawa na kufananisha kifo na usingizi, blue kawaacha mbali sana wabongo flavor, kuanzia anaanza mziki blue sio kwenye stage tu hata nyimbo zake na video zake ni tofauti kabisa kama sio wa nchi hii, ukitaka kuona tofauti ya blue na wengine angalia video moja tu ya blue ya mapozi, kawaida kwa wasiojua maana ya video au movie ni kuonesha kwa vitendo, na ndio maana miaka mingi tumeluwa tukiangalia movies za kihindi wala hicho kihindi chenyewe hatukijui, lakini ukitaka mtu akutafsirie atakupa picha kwa usahihi kuliko huyo muhindi mwenyewe, ukiangalia video ya mapozi kuanzia mwanzo hadi mwisho alichokiimba ndio alichokicheza kwenye video, na ndio kwenye video na ngoma zake zote yuko hivyo, kuna watu wanasema blue ni mzuri kwenye kolabo lakini nyimbo alizoimba mwenyewe blue ndio zimemtangaza yeye kama yeye, msanii wa kibongo aliemfuatia kwa karibu na nahisi angeliweza kumchalenji blue ni snoop lee, ila sijui alipotelea wapi maana mara ya mwisho nilikutana nae sinza club sansiro kwenye staight music hip hop talent search mwaka 2008, tulikuwa naye pamoja na AY tukicheki vipaji sijui kapotelea wapi.