Mr Blue ndiye msanii mwenye uwezo mkubwa kwenye stage kuliko wasanii wote wa bongo fleva Tanzania?

Niaje upo?

Fid Q huyu jamaa anasahau mistari jukwaani...Sijui shida yake nini.

Ni sawa na Saigoni naye...wanakaza lyrics wakifika jukwaani wanakuna vichwa.
Huu uzi nimeufungua wakati tayari naskiliza tupo pamoja ya Mr Blue (I swear to God), mpaka muda huu inareplay kwa phone.

Mr Blue is the best rapper yani kila idara
 

Pamoja mkuu, sina ninachokikataa kwa maelezo hayo.

Sijawahi kuwa mshabiki wa Hiphop jukwaani, labda kama performer ana dancers. Entertainment point of view, namchukua Diamond any time.
 
Jamaa naskia anakubalika japo mimi nasikilizaga nyimbo zake zile za mwanzo kama mapozi nk
Hizi zingine simuelewi
Sifa ambayo haijasemwa hapa ni kuwa ktk wasanii wote wa bongo fleva yy ndo ameweza kukaa ktk gemu muda Mrefu akimantain status yake kwa shoo, intavyuu, na nyimbo kali akipokea kijiti toka kwa Duli na mwingine ni Diamond
 
Sifa ambayo haijasemwa hapa ni kuwa ktk wasanii wote wa bongo fleva yy ndo ameweza kukaa ktk gemu muda Mrefu akimantain status yake kwa shoo, intavyuu, na nyimbo kali akipokea kijiti toka kwa Duli na mwingine ni Diamond
Kweli kabisa mkuu
Afu inapendeza sana kuwaona wasanii wa bongo wa zamani wakiwa na life zuri
Nilikua naangalia interview ya doggy anasem zamani walikua wanapiga show vijijini huko kwenye nyumba za movies
 
Hakuna msanii bongo ambae anayeweza kuuvaaa huusika kwenye video za Muziki Kama diamond platinumz povu ruksa.
 
Unajua maana ya legendary?Mr blue awezi and he don't deserve that crown.
 
Jamaa ameona aibu kusema alikiba akaona kwa kuwa hampend diamond bora aseme blue

Ila ukweli jukwaan kwa mujibu wa shoo za fiesta na shoo zote jamaa diamond ameonekana kuwa fundi sana na ndo sababu anaweza na ameweza kuandaa shoo yake mwenyewe na watu wanashangilia mwanzo mwisho bila kujutia pesa zao hii ni kuwafanya watu waburudike


Unahakiwa kuwa na ziada jukwaan ikiwa ni pamoja na ubunifu na kusoma mazingira ya mashabik wako kila muda

Hii ameweza yeye tu

Diamond up forever
Fiesta morogoro
Fiesta zote yeye ndo alikuwa muuaji
 
Salute Sana kwa fact tupu
 
Nyie wake wa diamond hii mada ni blue sio huyo Mme wenu
 
Mimi si mmoja wa mashabikiwa Alikiba.....hahahaha utakuwa mgeni hili jukwaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…