Chafu 3
Member
- Jul 29, 2015
- 41
- 47
Mimi ni mmoja wa shabiki mkubwa sana wa bizzybabylon baisa (mr.blue),kuanzia flow na uandish wake,lakin hivi karibuni amekua na mtindo wa kurudia baadh ya mashair katika wimbo zaidi ya mmoja.
Kwa mfano katika wimbo wa burger movie selfie rmx ya belle9 karudia baadhi ya mashairi ya wimbo wa benpol X baraka da prince (mwambie).
Pia katika wimbo alioshirikishwa na Nedy music (si halali) amerudia mashair kadhaa aliyotumia kwenye wimbo wa hemedy (someday).
Hii tabia alikua nayo stamina ila naona kaacha kwa sasa.
Go baisa go...ila usisahau kuwa shabiki wako nakumbuka kila ulichofanya awali.