Mr Blue punguza kurudia rudia mashairi

Mr Blue punguza kurudia rudia mashairi

Chafu 3

Member
Joined
Jul 29, 2015
Posts
41
Reaction score
47
Mimi ni mmoja wa shabiki mkubwa sana wa bizzybabylon baisa (mr.blue),kuanzia flow na uandish wake,lakin hivi karibuni amekua na mtindo wa kurudia baadh ya mashair katika wimbo zaidi ya mmoja.

Kwa mfano katika wimbo wa burger movie selfie rmx ya belle9 karudia baadhi ya mashairi ya wimbo wa benpol X baraka da prince (mwambie).

Pia katika wimbo alioshirikishwa na Nedy music (si halali) amerudia mashair kadhaa aliyotumia kwenye wimbo wa hemedy (someday).

Hii tabia alikua nayo stamina ila naona kaacha kwa sasa.

Go baisa go...ila usisahau kuwa shabiki wako nakumbuka kila ulichofanya awali.
 
Kwani akirudia mashairi wimbo unakua mbaya??..watu wanarudia nyimbo nzima nini kurudia vipande vya mashairi..
 
Hahahh maneno yameisha? Rudia tu baysal
 
Back
Top Bottom