Mr. Blue: Wema Sepetu na Naj walinifilisi Sana

Si ulikuwa unaona sifa kutoka nawema kisa katika kutwaa taji ili uandikwe sana nadhani hata wema hakukumbuki kwenye list yake maana ni ndefu

Anataka tu awaambie kijanja wale waliozaliwa juzi ambao hawakumuona enzi zake kuwa na yeye aliwah kutoka na madamme
 
Ukiona unatumia gharama kuuubwa ili tu upate coomer, basi ujue ni muhanga wa domo zege.....wajanja wanapiga hizo mambo kwa gharama za kawaida tu, alafu wanawaachia kina clemente na Diamond warekebishe......

Dah kweli anko.
 
Blue namkubali sana..hasa kwenye ile ngoma ya wamekaa akiwa na b.o.b
 
Si analalamika, Wamemchuna sana jamani, khaa.. Bora ssa amekuwa analitambua hilo.. Maliza kibanda chako ulale kaka
 
Kuhonga kipajiiiiiii waachieni wengine
 
Nilisikitika dogo alipoacha shule kisa huu muziki. Kwa nini asibwie??? pita mitaa ya Kinondini Studio/Vijana b.o.b uwakute wakifanya yao.

Kina Lil Romeo, Wayne & Bow wow wamesotea nondos na waliuza platinum records, sembuse sisi wa show za laki nane nane!
 
Dah,dogo anakumbuka leo kuwa alibug, ama kweli majuto ni mjukuu
 
Kweli aise, huwa napata shida sana kumuona Blue anakuwa karibu na mtu aliyepinda kiasi kile...Dogo Hamidu ni jamii ya kina Dudu Baya, Kala Pina....Blue anatakiwa KUchill na kina Barnaba, Amini, Ommy........

Maana kuna jamaa yngu mmoja alinitonya Blu muda si mrefu gari inawaka maana dozi yke inazidi kupanda.

Mr.blue anakula NGADA,dogo hamidu anamwaribu huyu na alikua punda mr blue naona safari za nje zimekata

Ila Blu simuelewielewi ukaribu wake na dogo Hamidu.

Wanao-sniff na ku-smoke mie ndio nawacontrol by dodo hamidu aka banyenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…