Baba Joseph17
JF-Expert Member
- Jul 15, 2013
- 9,517
- 9,762
Wema mdogo hata wewe unamzidi nadhani kipindi kile ankuwa miss alikuwa kama na miaka 18 au 19 hivi.
Mr blue ni mkubwa kwa wema?
mmmh haya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mr blue ni mkubwa kwa wema?
mmmh haya
Mi mwenyewe mdogo mno nalingana na dogo janja....Wema mdogo hata wewe unamzidi nadhani kipindi kile ankuwa miss alikuwa kama na miaka 18 au 19 hivi.
Mi mwenyewe mdogo mno nalingana na dogo janja....
Si ulikuwa unaona sifa kutoka nawema kisa katika kutwaa taji ili uandikwe sana nadhani hata wema hakukumbuki kwenye list yake maana ni ndefu
jamn hiyo picha ya Wema balaa
Balaa yake nn boss?
Ukiona unatumia gharama kuuubwa ili tu upate coomer, basi ujue ni muhanga wa domo zege.....wajanja wanapiga hizo mambo kwa gharama za kawaida tu, alafu wanawaachia kina clemente na Diamond warekebishe......
hao warembo atuachie sisi tunaohonga marange rover na ma bmw....!
Blue namkubali sana..hasa kwenye ile ngoma ya wamekaa akiwa na b.o.b
Mi mwenyewe mdogo mno nalingana na dogo janja....
Km pesa inamashairi makali sana..Pia naikubalii pesa ,na nalewa talalilaa,kuimba anaiwezaaaa
Kweli aise, huwa napata shida sana kumuona Blue anakuwa karibu na mtu aliyepinda kiasi kile...Dogo Hamidu ni jamii ya kina Dudu Baya, Kala Pina....Blue anatakiwa KUchill na kina Barnaba, Amini, Ommy........
Maana kuna jamaa yngu mmoja alinitonya Blu muda si mrefu gari inawaka maana dozi yke inazidi kupanda.
Mr.blue anakula NGADA,dogo hamidu anamwaribu huyu na alikua punda mr blue naona safari za nje zimekata
Ila Blu simuelewielewi ukaribu wake na dogo Hamidu.
Dah,dogo anakumbuka leo kuwa alibug, ama kweli majuto ni mjukuu