Felix King Zaman
Senior Member
- Aug 6, 2016
- 125
- 117
Kuna muda unafika maishan inabidi you make right decisions..Yaan namkumbuka MR BLUE zile enz namuelewa sana..Amepita na madem wazur wote Wema, Naj na hata nina uhakika ZARI angekuwa hizo siku BLUE angemvua chupi..Umewahi jiuliza kwa nini blue alimtema NAJ na kumuoa huyu mke wake ambaye ni dem wa kawaida sana.