Mr Blue

Mr Blue

Felix King Zaman

Senior Member
Joined
Aug 6, 2016
Posts
125
Reaction score
117
Kuna muda unafika maishan inabidi you make right decisions..Yaan namkumbuka MR BLUE zile enz namuelewa sana..Amepita na madem wazur wote Wema, Naj na hata nina uhakika ZARI angekuwa hizo siku BLUE angemvua chupi..Umewahi jiuliza kwa nini blue alimtema NAJ na kumuoa huyu mke wake ambaye ni dem wa kawaida sana.
 
Duuh...
Ndio ushamaliza mkuu..!?
 
wa kawaida sana kwa mujibu wa nani na vigezo vipi?..
 
Jiulize kwanza wewe kwanini unaishi kwa shemeji yako mpaka umri huu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna muda unafika maishan inabidi you make right decisions..Yaan namkumbuka MR BLUE zile enz namuelewa sana..Amepita na madem wazur wote Wema, Naj na hata nina uhakika ZARI angekuwa hizo siku BLUE angemvua chupi..Umewahi jiuliza kwa nini blue alimtema NAJ na kumuoa huyu mke wake ambaye ni dem wa kawaida sana.
sio jukumu letu kujiuliza maisha ya watu wakati yakwetu wenyewe maumivu....but hiyo conclusion yako wachache sana watakuelewa....!!
 
Kuna muda unafika maishan inabidi you make right decisions..Yaan namkumbuka MR BLUE zile enz namuelewa sana..Amepita na madem wazur wote Wema, Naj na hata nina uhakika ZARI angekuwa hizo siku BLUE angemvua chupi..Umewahi jiuliza kwa nini blue alimtema NAJ na kumuoa huyu mke wake ambaye ni dem wa kawaida sana.

Na wewe uliwahi kujiuliza kwanini Mimi niliacha madem zangu wengine wa zamani nikaamua kuoa huyu mke niliyenaye?
 
Back
Top Bottom