Mr Ki akumbatia bomu rasmi

Kuna methali ya kimombo inasema "A happy man marries the girl he loves; a happier man loves the girl he married" sasa ndugu yetu kaingia cha kike tayari. Tumetulia pembeni tukisubiri yamkute ya Ndikumana
Unamkosea sana mwanaume mwenzako.
1. Ki ni mwanaume na ana uwezo wa kumpenda yeyote.
2. Hamisa ni mwanamke na awezapendwa na me yeyote.
3. Wewe waombee ili wadumu Kwa ndoa Yao.
4. Shukuru dadako kupata soko la kimataifa.

Acheni ushabiki wa mpira kwenye mapenzi.
 
sema wabongo ni washirikina wadogo wadogo, Sasa mwana si kasha oa na maisha ni yake sisi tupunguze ujuaji.

sawa ni public figures, ila Wana haki ya kuamua na kuchagua kile waki pendacho.
as long as huwachangii Kodi, you got no word In their life.

Kumbuka infringement of privacy is a crime offense .
 
Dogo Aziz kaingia cha kike

Ndoa haijawahi kumbadilisha malaya aache umalaya na kuwa mke wa maana

Acha tapeli azichune pesa zake za Yanga
Coming from mchukia wanawake not surprising… mlitaka mmumchune nyie?! Pumbafu
 
Reactions: ABJ
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…