Mr Ki akumbatia bomu rasmi

Mr Ki akumbatia bomu rasmi

Acha wivu we msimbe wa kiume.. Ulitaka Azizi akuoe wewe? Jifunze kutakia wengine heri uchawi si lazima ushike tunguri uwange..hata haya maneno yako tu yamekaa kichawi...
 
Ukisoma post za baadhi ya watu ndio utagundua tuna watu wajinga wengi tu!
Hivi unawezaje kuwa busy kukashifu ndoa ya mtu mwingine, inakuhusu nini???
TUNATIA AIBU!!!
 
Hebu mpumzisheni Sasa kaka wa watu looh!!yakimkuta ni yeye atapambana na hali yake, Kila siku tu kuanzishiwa nyuzi aaa jamani...
Wana uchungu utasema wao ndio wazazi wa bwana ki kwamba likimkuta jambo basi wao pia wataathirika 🤣🤣🤣
 
Mtakaa vibarazani kudiscus yawakute...nawaambia yatawakuta nyie muwaache wao
 
Back
Top Bottom