Peramiho yetu
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 5,303
- 14,983
VP DECI hazikuwa pesa za umma mbona hatujalpwa mpaka Leo?Me naona cha muhim ni watanzania kuwa na subira kuliko kuanza kutoa shutuma za utapeli juu ya Mr kuku, maana katika mashtaka aliosomewa hakuna shitaka la kushindwa kulipa wawekezaji wake, na pia kama biashara watamfungia basi inabid waifungue account ya crdb ili iweze kurejesha pesa za wawekezaji maana zile pesa za umma
Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app