Mr. Kuku afikishwa Mahakamani akikabiliwa na mashtaka saba ikiwemo kufanya Biashara Haramu ya Upatu kwa kukusanya bilioni 17

Mkuu wangu asante mjini ni akili.Bro si unaona hapo alikuwa ametulia πŸ˜€
 
Huo ndio mchezo uliopo hapo.
Jiulize wakati anaanza kufanya serikali ilikuwa wapi?Na cha ajabu jamaa alikuwa na licences zote alizipataje?
Hapo serikali walimvizia tu azikusanye ili waende kuzichukua waingize kwenye miradi yao
Are you sure ana licences zote? Kwasababu taarifa zinasema kosa mojawapo ni kukusanya pesa za umma bila kuwa na leseni. Anaweza kuwa ana leseni ya ufugaji wa kuku lakini hana leseni ya kukusanya pesa za umma!!
 
Duh, hii ndio bongo! Hatimae jibu limepatikana, kwa mnaokumbuka nilileta bandiko kuulizia uhalali wa ile biashara. Michango ilikuwa ya kutosha but all-in-all bwana alitoa na bwana ametwaa!!!
...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚...
 
Kwani ilikuwa Ni upatu??
Nikivyoielewa ilikuwa Ni uwekezaji wa pamoja, kwamba anakusanya mtaji, anafuga kuku Kisha anauza na kurudisha faida au niliielewa vibaya??
Wajinga ndio waliwao,mimi siamini biashara za upatu hela yangu ntaimaliza mwenyewe
 
Kwani ilikuwa Ni upatu??
Nikivyoielewa ilikuwa Ni uwekezaji wa pamoja, kwamba anakusanya mtaji, anafuga kuku Kisha anauza na kurudisha faida au niliielewa vibaya??
Huo ni upatu tu,ingekua anawekeza angekua na mtaji mara 2 ya hizo pesa,na angewapa watu faida zao....biashara gani uweke 5m upate 5m,imekua gemstone hiyo
 
Ashakum si matusi. Tuwiane radhi, kawadhulumu wenye akili za kikuku.
Baada ya DECI, D9 na upumba.vu mwingi wa aina hiyo, watu bado hawakushituka ??

Kesho mwingine atakuja kwa staili nyingine na Ponzi scheme mpya na watu wataingia mkenge.

Hakuna hela ya short cut. Labda uibe, udhulumu nk.
 
Kama hakuwa na leseni tangu ameanza kufanya walikuwa wapi kwenda kumkamata hadi inafika miaka 3 ndio wanaenda kumkamata leo,walikuwa hawaoni kama anafanya makosa?
Are you sure ana licences zote? Kwasababu taarifa zinasema kosa mojawapo ni kukusanya pesa za umma bila kuwa na leseni. Anaweza kuwa ana leseni ya ufugaji wa kuku lakini hana leseni ya kukusanya pesa za umma!!
 
Duh, hii ndio bongo! Hatimae jibu limepatikana, kwa mnaokumbuka nilileta bandiko kuulizia uhalali wa ile biashara. Michango ilikuwa ya kutosha but all-in-all bwana alitoa na bwana ametwaa!!!
Watanzania wengi wajinga, acha wapigwe tu. Hivi mtu pamoja na watu kulizwa bado wanajipeleka kwenye mchezo wa kitapeli.

Vv
 
Ndo asirudie kupenda kitonga, atakua kajifunza sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…