Mr loo

Mr loo

mohamedn

Member
Joined
Feb 19, 2009
Posts
54
Reaction score
37
Kampuni moja ya jijini ilimtuma dereva wake kwenda airport kumfuata mchina mmoja ambae anakuja kufanya kazi katika kampuni hiyo.

Dereva alipata maagizo pamoja na karatasi inayoonyesha LOO (jina la mchina)na kuambiwa ndege anayokuja nayo mchina huyo ili wakati watu wakitoka aionyeshe. Dereva alifanya kama alivyoambiwa lakini kwa muda mrefu hakumuona mtu kuja kwake isipokua aliona mchina mmoja akizagaa zagaa.

Yule mchina nae kwa muda alimtafuta anaekuja kumfuata bila mafanikio ndipo alipoamua kumfuata huyu dereva na kumuuliza:-

Mchina : are you here for mr LOO ?
driver : Yes
Mchina : Stupid all the time i thought you had come to take James Bond.

(aliigeuza karatasi juu chini ikawa inasoma 007 badala ya LOO)
 
Duh! ebanaa eehe bila mchina kujiongeza hapo naona huyo dereva angekesha!!!
 
Hiyo ni kali sana! ndo maana hata madereva wanapaswa wawe na elimu ya darasani ili waitumie katika mazingira ya kazi zao
 
Yeeep, Kichekesho kimeenda shule, sio kama pumba za kusema chupi inavaliwa wapi!Shusha kingine mwanangu
 
Back
Top Bottom