Mr & Mrs Zimbwe Jr katika pozi la Familia

Teko Modise

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
2,331
Reaction score
7,733
Zimbwe Jr anasema huwa anatumia muda wake wa mapumziko mara nyingi kuwa na familia yake kama ilivyo pichani.

Pichani ni Mr & Mrs Zimbwe Jr wakiwa katika pozi la familia.
IMG_3856.jpeg
 
Ni vizuri kutulia na familia kama hivyo

Kwanza inalinda wallet

Pili inaongeza mapenzi, Wanawake wanapenda umpatie muda wako

Inapunguza risk ya maradhi

Inalinda kiwango cha mchezaji, Wanawake wanapunguza sana viwango vya Wachezaji ukiwa unapenda kuruka ruka nao
 
Zimbwe Jr anasema huwa anatumia muda wake wa mapumziko mara nyingi kuwa na familia yake kama ilivyo pichani.

Pichani ni Mr & Mrs Zimbwe Jr wakiwa katika pozi la familia.View attachment 3117805
Hongera sana Zimbwe Jr kwa kuipenda familia yako. Hakika familia ndiyo kila kitu kwa binadamu.
Na hongera sana kwa kuchagua rangi ya Mtume from Dubai.
 
Zimbwe Jr anasema huwa anatumia muda wake wa mapumziko mara nyingi kuwa na familia yake kama ilivyo pichani.

Pichani ni Mr & Mrs Zimbwe Jr wakiwa katika pozi la familia.View attachment 3117805

Mke wake kama kavumilia sana shida nyingi zilimuandama sana, uso na macho, nuru yake inasema mengi kapitia magumu moyoni ambayo sie wasoma nyuso na nuru za watu tunajua, ila amrudishie furaha na nuru yake moyoni, uso huwa unaongea kimya kimya
 
Hata kama usemayo ni kweli,basi shida alikuwa nazo kabla ya ndoa maana kaolewa juzi juzi tu huyu,kwa nidham ya zimbwe naamini ndoa iko good
 
Back
Top Bottom