Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Ni jambo la heri, Mungu awatangulieZimbwe Jr anasema huwa anatumia muda wake wa mapumziko mara nyingi kuwa na familia yake kama ilivyo pichani.
Pichani ni Mr & Mrs Zimbwe Jr wakiwa katika pozi la familia.View attachment 3117805
Mzee wa hovyo kumbe smtm una madiniππNi vizuri kutulia na familia kama hivyo
Kwanza inalinda wallet
Pili inaongeza mapenzi, Wanawake wanapenda umpatie muda wako
Inapunguza risk ya maradhi
Inalinda kiwango cha mchezaji, Wanawake wanapunguza sana viwango vya Wachezaji ukiwa unapenda kuruka ruka nao
Hata dem wako unaye muona mkali wenzio nao watasema hivyo hivyo,uzur upo machoni kwa wapendanaoJamaa alikosa demu au duh!
Hahaha...............tunawaasa Vijana, hayo mambo yanaharibu sana bajeti na viwango vya wacheza mpiraMzee wa hovyo kumbe smtm una madiniππ
Hongera sana Zimbwe Jr kwa kuipenda familia yako. Hakika familia ndiyo kila kitu kwa binadamu.Zimbwe Jr anasema huwa anatumia muda wake wa mapumziko mara nyingi kuwa na familia yake kama ilivyo pichani.
Pichani ni Mr & Mrs Zimbwe Jr wakiwa katika pozi la familia.View attachment 3117805
Siyo mzee huyo, ni mikorogo ndiyo inafanya kazi ya kuzeesha reception za wanawake bila wao kujua!Mwanamke ni mzee kuliko mwanamme, au macho yangu yananidanganya
Rangi ya mtume π€£π€£π€£πHongera sana Zimbwe Jr kwa kuipenda familia yako. Hakika familia ndiyo kila kitu kwa binadamu.
Na hongera sana kwa kuchagua rangi ya Mtume from Dubai. Hata mimi ndiyo rangi ninayoipenda siku zote. Mimi na Black Beauty sijui! Hapana aisee! π
Zimbwe Jr anasema huwa anatumia muda wake wa mapumziko mara nyingi kuwa na familia yake kama ilivyo pichani.
Pichani ni Mr & Mrs Zimbwe Jr wakiwa katika pozi la familia.View attachment 3117805
Hata kama usemayo ni kweli,basi shida alikuwa nazo kabla ya ndoa maana kaolewa juzi juzi tu huyu,kwa nidham ya zimbwe naamini ndoa iko goodMke wake kama kavumilia sana shida nyingi zilimuandama sana, uso na macho, nuru yake inasema mengi kapitia magumu moyoni ambayo sie wasoma nyuso na nuru za watu tunajua, ila amrudishie furaha na nuru yake moyoni, uso huwa unaongea kimya kimya
Age aunt a number!Mwanamke ni mzee kuliko mwanamme, au macho yangu yananidanganya
Age ain't nothing but are numbers ππππAge aunt a number!