Mr & Mrs Zimbwe Jr katika pozi la Familia

Zimbwe Jr anasema huwa anatumia muda wake wa mapumziko mara nyingi kuwa na familia yake kama ilivyo pichani.

Pichani ni Mr & Mrs Zimbwe Jr wakiwa katika pozi la familia.View attachment 3117805

Safi sana ,mkewe anaonekana mtaratibu na si mcharuko ,hongera zimbwe kwa kutulia kwenye ndoa na mkeo.
 
Hiyo bongo tuu...mbona dinho alikuwa anawala warembo lakini ikija jmosi/jpili anapiga mbugi dunia nzima inasimama kupiga makofi
 
Hiyo bongo tuu...mbona dinho alikuwa anawala warembo lakini ikija jmosi/jpili anapiga mbugi dunia nzima inasimama kupiga makofi
Hujawahi kudate na Mzungu inaonekana?

Wale hawakamii mechi kama Wabongo, kule unapiga viwili kisha unaendelea na shughuli za uzalishaji mali

Huku Kibongo Bongo, demu atahakikisha anakumaliza hadi nguvu za kumwaga majalo

Ukiingia uwanjani, wanashangaa umekuwa uchochoro, mashambulizi yote ya timu pinzani yanapitia kwako tu 😜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…