Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
4 7mbatizaji
Id yako ya mwanzo kabla sijakubadilishia ilikuwa ipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Id yako ya mwanzo kabla sijakubadilishia ilikuwa ipi?
Haina noma4 7mbatizaji
Peleka ujinga wako huko hata Hujielewi unachokitaka hukuumelazimizwa soma,mshana jr anajitambua na binadam tumepewa vipawo tofauti so mimi nimeomba msaada kwake yakuuma nini mkuu kuwa na uvumilivu , kama mtu ajaomba ushauri kwako jua anajua huwezi tatutua shida yake ,hivyo subilili wakati wako ukifika utaombwa ushauri why huje na maneno ya kihuni et povu
Ndio jamaa yangu
Haina nomaVaa dera twende kibao kata bibie
uyu jamaa huwezo wa kunistress hana mkuu huyu jamaa anajidanganya anadhani kila mtu ni Sukuma twende ,yahani ukiulizwa jua liko maghalibi wakati liko kusini wasema ndio wakati hata kuliona hujalionaWewe jamaa , kwanini unam stress mwenzako ?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
nashindwa nitumie neon gani mahana matusi sio hulka yangu bali we jamaa usipende jitafutia laana zisizo kua na sababu maana huwa mwajidanganya kwamba lazima laana itoke kwa wazazi wako waliokuleta hapa duniani but zipo zingine kupitia hapa wazipata live bila chenga imeandikwa na yaweza kua mda wowote nakusihi achana na matusi yasio kua na sababu mkuuuPeleka ujinga wako huko hata Hujielewi unachokitaka huku
MakengezaKwa uandishi huu sijui mjibuji atakuwa na hali gani
Dogo umetisha kinoma nomanashindwa nitumie neon gani mahana matusi sio hulka yangu bali we jamaa usipende jitafutia laana zisizo kua na sababu maana huwa mwajidanganya kwamba lazima laana itoke kwa wazazi wako waliokuleta hapa duniani but zipo zingine kupitia hapa wazipata live bila chenga imeandikwa na yaweza kua mda wowote nakusihi achana na matusi yasio kua na sababu mkuuu
do yaan una mambo, sinaga hobi ya matusi mkuu na sitojaribu maana najua why niko hai ni mapenzi yake alienileta dunian but elewa leo uko hai ipo siku utafumba macho utazikuta huko kablasha zako ,si wajiona jeuri sana na unaambiwa husikii na kwa sababu waendesha AUD ,tena ya kiasasa Zaidi siku zako zaja mkuuNenda PM. Acha kujishogodoa hapa. Kuandika kwenyewe hujui pheeew
nami nanena, hacha yawe makengeza siku zaja asema bwana , japo sijaanza mtumikia katika maagizo yake mungu atachimbua passipo kua na maji nayatakua maji mengi na pasipokua tanzanite zitazaliwa sanaMakengeza
vizuri wasema mimi dogo vipi tukikutana ukanikuta nina watoto wakuzidio mara kumi kwa kila kitu, utaendelea na msimamo wako huo au utaniomba msamahaDogo umetisha kinoma noma
Hongera sana kama umemwelewa.Kwa style hii kuiondoa madarakani ccm ni ndoto. Wapiga kura ni aina ya mleta mada kila mtu kwake ni nabii
Dah mwamba hajui Kama forum inamtambua sasa.Mshana nilimuona mto wami anauza fishView attachment 1524358
kijitaJamani hivi lugha aliyotumia mtoa mada ndio kipare?